Recent content by Utingo

  1. Utingo

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

    next magu?......kwamba eventually naye ataondoka by 2037?
  2. Utingo

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wakisema mkataba wa DP World uko sawa kwa sasa wana maoni gani baada ya mkataba kurekebishwa?

    umeusoma na ukathibitishwa yanayosemwa ndiyo yameandikwa ktk mkataba?
  3. Utingo

    JamiiForums Tanzania Wayahudi ni watu wa vita miaka yote

    mtatoana macho bure kwa historia ambayo ilishavurugwa
  4. Utingo

    JamiiForums Tanzania Je, nini umuhimu wa kuhakiki cheti cha kuzaliwa na cheti cha kifo? Kwanini wanaongeza gharama za kuhakiki bila taarifa?

    vya mchongo viko vingi. Uhakiki ni lazima. unahofu nini?
  5. Utingo

    JamiiForums Tanzania Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    utashangaa hata waarabu hawawataki maana wafilisti kwa asili si waarabu. Pengine ndiyo sababu iran inawapa makombora tu na si chakula ili wakirusha israeli, israeli iwateketeze.
  6. Utingo

    JamiiForums Tanzania PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    ufisadi una sura nyingi mkuu...si ajabu ukasikia UAE nao wanatoa
  7. Utingo

    JamiiForums Tanzania Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

    yaani hamtaki kukubali kabisa kuwa ni penzi la kawaida:D:D
  8. Utingo

    JamiiForums Tanzania Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

    hapo ndiyo amekera. mambo ya kuiga wazungu hayo. How can a man submitt himself to a woman.
  9. Utingo

    JamiiForums Tanzania Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

    kuna nini cha ajabu hapo mwanaume na mwanamke wakiamua kuoana? Au mpishi hastahili kuolewa?
  10. Utingo

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, nchi inahitaji maombi kuliko wakati wowote ule

    protocol/team inayoratibu safari za rais inaidhalilishwa na kuifedhehesha sana nchi. This is beyong abomination and blasphemy.
  11. Utingo

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

    Nawe unastahili Tuzo ya Heshima kwa kuendelea kusoma hivi vijarida vya ccm
  12. Utingo

    JamiiForums Tanzania BRICS ina msimamo gani mgogoro wa Israel na Palestina

    nani alikudanganya kuwa si muungano wa kijeshi pia? Mnapofikia kuwa na muungano imara kama eu unadhani masuala ya kisjeshi hayahusishwi? BRICS ni trade partnership si regional integration.....
  13. Utingo

    JamiiForums Tanzania Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    na hawatarudia tena kwa miaka ya hivi karibuni na si ajabu masalia ya hamasi wakakimbia kabisa wakahamia nchi zingine au jangwa la sahara kujificha. retaliation watakayopata wiki hii hawataisahau milele.
  14. Utingo

    JamiiForums Tanzania Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

    lazima waumizwe maana wanalipwa kisasi
  15. Utingo

    JamiiForums Tanzania Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    ushabiki wa kijinga kwa sababu vita haiko mlangoni mwako. Watakaoumia zaidi na kwa wingi ni raia wasio na hatia wa palestina maana kwa ulipizaji kisasi wa mazayuni, wataiteketeza gaza kwa wiki nzima. Gaza strip itarudi kuwa katika zama za mawe.
Back
Top Bottom