Likwanda:nipo mbeya town nafanyaje sijakupata kuhusu huo ukaribu wa satelite ni kiedit na kuadd hiyo freguency kwenye azam tv inawezekana nikaipata emanuel
@isilokabwe:mkuu dish aina gani nina decoder ya star times baada ya kuzingua nimenunua azam tv..... bt nayo haina.... naweza tumia dish la eurostar nielekeze inakuwaje???
msaada jinsi ya kuunganisha emmanuel tv. ...... nina decoder ya azam....but haina hiyo chanel startimes haikamati haya mazingira niliyopo nifanyaje jamani msaada wenu wadau
mungu wetu ni wa ajabu matendo yake hayachunguziki sifa na utukufu apewe bwana binti wa watu kachafuliwa tumbo na mishono na madactari wa dunia daktari bingwa Yesu kamaliza ugonjwa wote tusiogope maneno ya madaktari kama tuna imani iwezayo kung'oa milima tuishi katika kristo tupate mema kila siku
Inspector: inategemea na umbile la mama yawezekana ni mnene so ana mafuta mengi mazoezi ni tiba nzuri pia na aina ya upasuaji aliofanyiwa kama ni ya mlalo na ye ni mnene basi lazima itafunikwa na tumbo kidonda kinakuwaje wazi??
msaada wenu wadau nina ndugu amemaliza form four kapata four ya 31 kasikia tetesi serikali imetoa ofa kwa baadhi ya vyuo kikiwemo katoke bukoba mwisho div 4 ya 35 mda wa mafunzo ni miezi 6 tu kuna ukweli wowote naomba mnijuze wadau
inaanzia na z jina nimesahau ni kidonge kimoja tu dozi yake kinauzwa 6000 ni from uk inasehemu ya kusearch like vocha afu na maelekezo ya kutuma hizo no ili uambiwe kama hiyo dawa ni yenyewe na haijakwisha mda wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.