King'amuzi cha gospel(above 80 channels)

Msaada tupe tp zake na sat
Location yaani jinsi ya kuziadi natumia Azamtv MTAZAMO

Ukiwa na dish lingine hata yale madogo ya elfu 50 mafundi wanaunganisha kupitia king'amuzi cha azam tv then wakati mmoja unapata channel zingine kibao............ukipata fundi yoyote wa madish (hata kwa mawakala wa ving'amuzi) wanakufungia vizuri tu.........tafuta fundi wa karibu na eneo lako ili kuepusha gharama kidogo.
 
mkuu tupe tp na satelite yake tuziadd pls naomba ni pm mkuu
 
Kama una decoder ya Azam tv unanua na dish hata dogo la 50,000 then ukipata fundi mzuri utaongeza channel kibao....uzuri Azam tv wameruhusu wateja wao kujiongezea channel za FTA na wameweka option kabisa kuzitenga zile zao na zile utazoongeza.........

Imetulia ntafanya ivo
 
Ukiwa na dish lingine hata yale madogo ya elfu 50 mafundi wanaunganisha kupitia king'amuzi cha azam tv then wakati mmoja unapata channel zingine kibao............ukipata fundi yoyote wa madish (hata kwa mawakala wa ving'amuzi) wanakufungia vizuri tu.........tafuta fundi wa karibu na eneo lako ili kuepusha gharama kidogo.

Mbona Islam channel haipo kwenye hio list, ama hio siyo ya dini???
 
Mwanajamii,ni vema umalizie orodha channel zote yamkini, tutaweza kumpata wazo jipya !
"AKILI NI NYWELE;KILA MTU ZAKE !"
 
mtazamo: ww umefanyanye namm natumia azam ila emanuel tv haipo naihitaji nafanyaje??
 
Mimi kupitia Azam tv napata zote hizo kwa dish la Eurostar....

Mkuu ina maana Azam hawakukupa dish lao uliponunua azam tv? Au uliliweka kando? Hiyo Euro star unatumia kisambuzi chs Azam kuzipata hozo channel zote.
 
Mkuu nipe maujuzi nami natumia azam tv napenda immanuel tv
 
Attachments

  • Dreambox.jpg
    Dreambox.jpg
    3 KB · Views: 155

Similar Discussions

Back
Top Bottom