Recent content by UTENDE

  1. U

    Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume waliooa

    Huyu si wanamsemaga eti ananuka maku au??
  2. U

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Utawala wa sheria na demokrasia ya kweli ni nguzo kubwa kwenye maendeleo. Mabavu mengi na kujifanya wajuaji kwa hata musiyoyajua itawagharimu daima.
  3. U

    Prof. Muhongo atizamwe kwa jicho la tatu tusije tukapoteza jembe?

    Kw jinsi alivotunyanyasa watu wa Lindi na Mtwara ususani kwenye sakata la Gas aisee Muhongo bora apotelee mbali na dharau zake....haiwezekan atandike mabomba ya Gas Kutoka huku kuelekea Dar alhali sisi tuko gizani.
  4. U

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Mtwara
  5. U

    Kigoma Vs Mtwara: Mkoa upi upo nyuma kimaendeleo?

    Wewe mtoa post unafananishaje Mtwara na Kigoma? Mtwara iko mbali sana tena sn kw sasa! Miundo mbinu iliyopo, uwekezaji ulifanyw na serikal na private sector, uzur wa mji, kipato cha mtu mmojammoja na hata fursa zilizopo ni nyingi sn pale Mtwr kiac had uje ufananishe na Kigoma daah ni kufanya...
  6. U

    Chama cha Walimu (CWT) mbona kimya?

    Huyo Mukoba ni mamluki na anatumika. Polen walimu!
  7. U

    Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kurudisha posho za safari ya kuhudhuria kilele cha Mwenge

    Watanzania ushabiki umetujaa sn! Mwenge umezungushwa nchi nzima na mabilioni kibao kuteketezwa pacpo tija! Kuzuia cku moja tu watu wanashangilia eti.....!! Aibu ya taifa hakika, Mimi sion la maana hapa km si kujitengenezea umaarufu machon mwa wanyonge.
  8. U

    Haya ndo niliyoyaona Mtwara katika ziara yangu

    Mtoa post ni full bias....inaonesha una chuki sn na Mtwara Chura wa Snura wewe. Naona umejaza ulaghai wenye mtazamo hasi tupu! Vp mbona hujazungumzia zao la korosho km chanzo kikubw cha mapato ya serikal yako?? Panya na Ming'oko ni traditional food ni vyakula vitam kinoma. Kuhs maghorofa wadau...
  9. U

    Mtwara ndo tumedanganywa?

    Wanajamvi, wananchi wa mkoa wa Mtwara wanahoji je muendelezo ndiyo uleule wa kupewa ahadi pasipo utekelezaji?? Tunakumbuka wakati wa kampeni rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiambatana na mgombea wa awamu hii ya 5 mh. JP MAGUFULI wakiwa huko Lindi walitutangazia ya kuwa barabara ya MTWARA-...
  10. U

    Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Najuta kuwa mwalimu wa Tanzania...sirikal inatudharau sn kiukweli.
  11. U

    Prof. Benno Ndulu: Hakuna mdororo wa uchumi. Uchumi wa Tanzania unaendelea kukua...

    Nikirejelea karipio la mkulu kuhusu hisia ya watu kuficha hela mchagoni na kutishia kuchapisha noti mpya.... Na kwenye maafa ya tetemeko sirikali kutembeza bakuli ili kupatikane chochote wahanga wasaidiwe.... Napata ukakasi na kauli ya profesale eti kuwa uchumi uko stable!! Mmmh haya 2subiri...
  12. U

    Wema huijui Mtwara au dharau kwa wanamtwara?

    Anaenda kufanya nn sasa km anadharau hvo?? Anawachokoza wazee wa gas kwanza eeeh.....anadhan watu wana shobo naye kule!!
  13. U

    Prof. Ndalichako: Walimu wameshalipwa madai yao yote

    Walimu tumesimamia mtihan wa taifa kidato cha nne 2015 tukapewa kiac tu hadi leo hatujamaliziwa then huyu mama anaongea uongo hapa eti walimu hawadai!! Siasa imeshampoteza tyr na hiyo ni dhambi kubwa sn. Eti hv kw nn sekta ya elimu inapuuzwa sn jaman?? Aisee kuwa mwalimu kwenye hii nchi ni...
  14. U

    Mheshimiwa Rais Uongozi si zawadi wala kipaji

    Kwa mtazamo wangu, nahc jukumu la ukurugenzi linahitaji weledi na uzoefu ktk uongozi kwan huyu ndo mtendaji mkuu wa halmashauri. Mafungu yote yanayoenda kwa wananchi DED ndo mkokotoaji na ndo mwenyejukumu la kusimamia....anahitajika m2 mwenye akili ya ziada kiukweli. Kama kweli tunahitaji...
Back
Top Bottom