Hili swala tukiangalia vizuri tutakuta lilifanywa kisiasa sio kitaaluma ili kuondoa aibu kwa serikali kwasababu walipokuwa wakitoa matokeo wanafunzi wengi walikuwa ni waliopata division za chini, wakaona wakitumia gpa itafichaficha picha halisi ya matokeo.
Mbona hadi jana Kova alikuwa kazini?
Sirro nilimuona ni mtu safi 2010 wkt wa kutangaza matokeo ya ubunge Nyamagana wakati huo alikuwa RPC wa Mwanza hakuwafukuza wananchi waliokuwa wanalazimisha matokeo yatangazwe.
Baada ya kuoga mara nyingi kuna seli mfu huwa zinabaki juu ya ngozi na huwa zina elea elea kutokana na hivyo mtu ukijifuta na taulo zina baki kwenye taulo na kulifanya kuwa taulo chafu
Wimbo wake mpya ni wa kawaida sana hasa kwa level aliyofikia na ukilinganisha na nyimbo zake za nyuma ila video ni nzuri na inaweza ikatamba kimataifa kwasababu watazamaji wa nje hawajui kiswahili kwahiyo wimbo utabebwa na video tu
Hamadi Masauni alidanganya umri ikabidi ajiuzulu uvccm alafu hivi sasa anaonekana anafaa, siasa gani hizi!
Ila kwa Dk Mpango na Dk Ndalichako nahisi ni uteuzi mzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.