TETESI: Kamanda Simon Sirro awa Kamanda wa Kanda maalum ya Dar es salaam

Status
Not open for further replies.
Jana nimeangalia taarifa ya habar nimeona Kova akiongea na cheo chake ingali kikiwepo sa sijui labda wamtengue usiku wa manane
 
Mbona hadi jana Kova alikuwa kazini?

Sirro nilimuona ni mtu safi 2010 wkt wa kutangaza matokeo ya ubunge Nyamagana wakati huo alikuwa RPC wa Mwanza hakuwafukuza wananchi waliokuwa wanalazimisha matokeo yatangazwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom