Recent content by Utam

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kifanyike kipi kuboresha Mikopo kausha damu iwe na manufaa kwa wakopaji?

    waache tu kukopa utakuwa mwishonwake tatizo lipo Kwa wakopaji wakibanwa na matatizo wanaenda kimyakimya BAADA ya kutuma vibaya wanaanza kuitaka serikali ikomeshe mikopoo hiyo
  2. U

    JamiiForums Tanzania Lini wasiokunywa pombe wataheshimiwa bar?

    Kama ni hivo kwenye bar waache kuuza soda vibaki video tu!!!!??????
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hasomeshwi, utajuta

    Hahahaaaaa,umepiga penyewe japo mi mwanaume wengine wetu Huwa na hiyo tabia
  4. U

    JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Kwa nini isifute kabisa walimu wote maafisa ELIMU tu watasimamia hilo suala!??? Marking watakuwa wanaajiri special Kwa mda wa marking tu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiajiri Madaktari (MD) wakati kuna upungufu mkubwa, inaajiri CO (Clinical Officers) na manesi?

    Kule hakuna wanao-graduate MDs Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa mikoani, ukija Dar ni sehemu gani piga ua lazima uende?

    wanakojiuza wachina
  7. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Vitz Clavia

    Vp na sie wa vijijin inaweza faa Kwa route fupfupi?
  8. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Vitz Clavia

    Vp na sie wa vijijin inaweza faa Kwa route fupfupi?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Vitz Clavia

    Vp na sie wa vijijin inaweza faa Kwa route fupfupi?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Maombi yanayojibiwa na mashetani

    hamna shetani duniani ni propaganda tu
  11. U

    JamiiForums Tanzania Imekaaje Hii Mzazi kutongoza Mwalimu Anayemfundisha Mtoto wake?

    vp walimu wanaowala wazazi wa wanafunzi wao!???
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tuambiane kuhusu matumizi ya jana!!

    Da! Jana ilitumika wastani wa TSH.50000/=
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mbona Govt salary zinaingia zimepigwa panga bila maelezo ya kutosha kunani jamani

    Utakuwa ulichukua salary advance,mbona mie sijakatwa hata mia!!?????
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mitandao haina huduma ya kureverse muamala ukinunua Salio kwa bahati mbaya?

    Hiyo issues ndogo sana,piga customer care watairudisha inavotakiwa
Back
Top Bottom