Hahahaaaaa,umepiga penyewe japo mi mwanaume wengine wetu Huwa na hiyo tabiaNa mwanaume hatakiwi kuvumiliwa akiwa anaanza kutafuta maisha from the scratch, wanawake wengi wana tabia ya kuwavumilia wanaume wakiwa bado wanajitafuta wakiamini kwamba wakifanikiwa watafaidi matunda yao, lakini cha ajabu baada ya hao wanaume kufanikiwa huanza kutafuta sasa wanawake wa type zao ambao walikuwa wanawakataa kipindi masikini