Recent content by Ustadh tongwe

  1. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    tangu tarehe 27/09 nishatoa taarifa kua hakuna shughuli ya utoaji mahali nimewaambia tu kuna emergency nimepata hila ndio nimemalizana nae hakuna kitakachoendelea
  2. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    ni kweli mungu kanionyesha
  3. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Hapo kweli nilikosea hila alikataa sio yeye baadae akakubali ndio akasema yule shemeji yake alikua nae
  4. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    nishawai kukutana na mtu anaweza kusoma mawazo ya mtu mwingine hata km unafikiria ndani kwa ndani bila ya kutoa sauti,nnakumbuka ilikuaa posta mpya nilikua nnaenda kukutana na mtu nimkabidhi hela, nilikua nna pesa ndani ya bag nikawa nnatembea kwa wasiwasi wa kuibiwa nikaenda kusimama kwenye...
  5. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    lazima aumie maana nilishatoa barua na wazazi wake anajua wiki hii taree 3/10/2026 nnaenda kumalizia maali
  6. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Ukoo upi wa Wachagga una mke anafaa kwa ndoa!!

    boss hii inakuaje devil incarnation maana huwa nnapenda sn kwenda kwenye vituo vya ya tima kutoa sdaka
  7. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Villa zinauzwa Oyster bay zipo 6 zina vyumba 3, eneo square meter 2900 kwa bei ya Dolla Milioni 6.5

    REAL ESTATE BEI ZAO HAZIENDANI NA THAMANI
  8. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    kama umeelewa toa ushauri boss mambo ya muandiko achia walimu shuleni huko
  9. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    kama hujaona nilipofumania sawa kaka ila chukulia km ww siku mke wako umemuacha nyumbani halafu ukamkute mazingira tofauti amekaa na mwanaume mwengine ambaye humjui wanakula na kunywa hila kwasababu alikua haafanyi mapenzi usimchukulie hatua yoyote
  10. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    imeniuma sn inabidi nikomae siku mbili hz ni force nipige niagane nayo
  11. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    tatizo ww hunipi ushauri hunipi naona unanipa makavu tu da sio poa
  12. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    shukran kwa ushauri wako
  13. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    umenitukana tu bila ushauri mkuu
Back
Top Bottom