Recent content by USILALE

  1. U

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje mbwa kula mifugo (mbuzi)

    Habari? Naomba kujuzwa sheria inasemaje mbwa anapokula Mifugo ya mtu. Ni adhabu ipi inamkabili mwenye mbwa?
  2. U

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu sekondari njoo halmashauri ya Kigoma nami nije Mwanza.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu alipo Dr. Ndodi

    Habari? Naomba mwenye namba ya simu ya mkononi ya Dr Ndodi wa Haleluya Sanitarium clinic anisaidie. Namhitaji kimatibabu. Shukran.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu wapya 2014 zatangazwa

    Uongo mtupu!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Walimu na ajira

    Mmeanza! Mbona mnaendelea kumtwisha zigo la kazi Mungu kwa uongo wenu? Eti "majina yako hazina!!?"
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mko wapi mliosema ajira zitatoka mwezi huu

    USILALE ni jina langu halisi. Kumbe wewe ndo ulinena eti ajira ni Feburuar! Ngoja niwaite uliowadanganya wakunyoe kiduku!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mko wapi mliosema ajira zitatoka mwezi huu

    Mko wapi mlionena eti ajira za walimu 2013/14 ni Jan au Feb? Bado saa kiduchu kumaliza Februar! Mungu awasamee kwa uongo wenu! Mnadanganya umma wa Mungu! Haya njoo na kauli nyingine.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

    Ndugu msomaji husika na kichwa hapo juu. Tumezoea kuona bendera ya Taifa ikipandishwa asubuhi na kushushwa jioni kila siku. Hivi kuna mantiki gani ya kupandisha na kushusha bendera kila siku? Je, kupandisha bendera asubuhi kunaimanisha kwamba Taifa na Serikali yake limeamka kutoka...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

    [/color] weka mbali na watoto huo uzi!
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa CCM Mbeya: Watumishi wote mkoani Mbeya lazima kuhudhuria

    Hili tangazo limekiuka haki za binadamu na sheria za nchi. Huwezi kumlazimisha mtumishi wa umma audhurie/ashiriki sherehe za chama siasa. Hilo tangazo inabidi litemewe mate na aliye liweka achukuliwe hatua stahk!! Ni tanganzo la kichokochoko.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu hili 'NANI ZAIDI' ndani ya CHADEMA.

    Kiukweli, hakuna mgogoro wala makundi ndani ya CHADEMA. Ila kinachoendelea ndani ya Chadema ni kile ninachokiita 'NANI ZAIDI' kuelekea uchaguzi ndani ya Chama. Huu mkakati, 'nani zaidi' unampa nafasi mwana Chadema kuweza kutambua nani anafaa katika ngazi fulani.
  12. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ndiyo baba lao hapana chezea mnyama

    Yanga wanacheza mpira wa mdomoni tu, sio wa uwanjani. Wana wachezaji wenye majina makubwa tu!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    :israel::israel:Tanzania bila upinzani haiwezekani! Kwa hisani/nguvu ya upinzani, watanzania tunasonga mbele. :israel::israel::lock1::der:
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Leta 'updates'. Hiyo imexpai.
Back
Top Bottom