Recent content by usijalisana

  1. usijalisana

    MAAJABU:NILITAFUNA WEMBE NIKAMEZA NIKIFANYIWA DAWA

    Vipi dawa imeleta mrejesho baada ya hapo?
  2. usijalisana

    Haloteli hana Mpinzani hapa Tanzania mimi na wewe Daima

    Mkuu nielekeze namna ya kufanya hiyo buffering na mimi
  3. usijalisana

    Kama hujayapitia haya maisha, kubali umekosa mengi

    Mimi ktk michezo yote wa baba na mama ndo niliupenda sana
  4. usijalisana

    Kama hujayapitia haya maisha, kubali umekosa mengi

    Mimi nilipenda sana mchezo wa baba na mama, ulikuwa mtamu sana
  5. usijalisana

    USAFIRI WA TRENI DAR TO SHINYANGA

    Ndiyo mkuu, nauli haijitoshelezi
  6. usijalisana

    Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

    Majina machache ndo yamejirudia, almost watu watatu hivi, lakini kwa mtazamo wangu ni makosa ya kawaida hayo
  7. usijalisana

    USAFIRI WA TRENI DAR TO SHINYANGA

    Habari wanajukwaa, natumai wote mko poa. Shida yangu naomba kufahamishwa ikiwa kuna usafiri wa treni kuanzia Dar to Shinyanga na ni sh. ngapi na inachukua muda gani. Wassalam
  8. usijalisana

    KWA WENYEJI WA SIMIYU

    Safari ndefu ni ya kutoka Dar to Mwanza au Mwanza to Bariadi?
  9. usijalisana

    KWA WENYEJI WA SIMIYU

    Vipi kuhusu nyumba za kuishi waalimu shuleni, zinapatikana au ni kupanga mtaani?
  10. usijalisana

    KWA WENYEJI WA SIMIYU

    Halmashauri si iko itilima?
  11. usijalisana

    KWA WENYEJI WA SIMIYU

    Ok shukran sana mkuu
  12. usijalisana

    KWA WENYEJI WA SIMIYU

    Okey sawa shukran, nauli je ni bei gani kutoka Dar had shuleni
  13. usijalisana

    KWA WENYEJI WA SIMIYU

    Okey? Wewe unafundisha hapo siyo? nyumba zipo mkuu ila za kubanana kuna headmaster alikuwepo hapa anaitwa Angelo we hutamkuta amehamishwa alikuwa mnoko huyo we acha tu. njoo utatukuta mzee.
  14. usijalisana

    KWA WENYEJI WA SIMIYU

    Niko Zenj mkuu, private
Back
Top Bottom