Haloteli hana Mpinzani hapa Tanzania mimi na wewe Daima

Internet ya hovyo...hakuna ..i repeat no one can beat vodacom's internet speed
Kuna SMILE, TTCL kwa speed voda anasimama kwa maeneo mengine, sema inategemea na eneo ulilopo sio maeneo yote unapata the same speed
 
Rudi nyumbani Kumenoga, TTCL inafanya vizuri
View attachment 1108552
Nafurahia ukaribisho kwa GB60

Vipo vifurushi vya
- Siku
- Wiki na
- Mwezi
Ni uchaguzi wako kulingana na mahitaji yako.
View attachment 1108551
#5. 10GB = TZS. 10,000
Nikiunga mara mbili, nakamilisha wiki.

Pia wana BOOM PACK, nayo iko vyema

TTCL wanajitahidi japo hapa nilipo download speed ni 60kp/s

Very very slow...voda wapo vizuri sana
 
Hivi kuna mtandao wenye speed kubwa zaidi ya voda?
Speed kubwa inategemeana na eneo na eleo. Kuna maeneo voda inakuwa na speed kubwa na kuna maeneo mengine voda hiyo hiyo speed yake kama kobe. Maeneo mengine halotel inakuwa na speed kubwa wakati tigo, voda na airtel wanakuwa na speed ya kobe. Hivyo hivyo kwa airtel na tigo kuna maeneo yanakuwa na speed kubwa tu na maeneo mengine utakereka kwakuwa hovyo kwenye huduma ya internet.
 
Hivi kuna mtandao wenye speed kubwa zaidi ya voda?
Shida ya voda vifurushi vipo ghari sana. 2500 kwa tigo napata GB 2.5 na dk kibao mpaka za mitandao yote. Halotel 1000 napata GB 10 kwa usiku. Voda kwa 1500 unapata kama 2.5 kwa usiku.
Mimi voda nishaacha kuitumia natumia Tigo na Halotel
 
Halotel wamenikosha sana roho Jamani
500MB shillings 500
1000mb shillings 1000
15gb elfu kumiiii na dakika na sms kibaoooo nani kama Halotel hakuna jamani Hamieni halotel huku mambo ni mazuri....
weka pesa yako halopesa.... utweza kujiunga vifurushii hivii.......

hawajawhi kuniangusha niko nao snice 2015 till now hawajawahi kuniboaa..
Jina lako imekaa ki Viet Viet hivi,
Na kampuni ni ya wa Viet,
Kifupi lipia tu tangazo.
 
Kuna siku niliunga lile la usiku kwa 1000 unlimited internet dah nilijuta ni mwendo wa 123.56 KB/s
Nashangaa hawa vijana wanaoisifia, yaan ata ukifungua YouTube mpk ije ifungie utakuwa umesubiri zaidi ya dk 5, niliinunua kesho yake nikaivunja vunja kwa hasira.
 
Nimetumia Halotel tangu 2015 ila lately speed ya data inasumbua sana
Siwezi tena stream Netflix au YouTube bila kufanya buffering. Shame...
Nilitaka niwakimbie zantel nikasajili halotel bt kwa speed yao ya mwendo wa kobe kesho yake niliivunja vunja na kuitupa
 
Mkuu nielekeze namna ya kufanya hiyo buffering na mimi


Boss, ile kitendo ya Youtube au Netflix kuzunguka na kustuck wakati wa kucheza video ndio tunasema inafanya buffering....so, ukiwa na network yenye speed nzuri, hutapata hiyo tabu
 
Back
Top Bottom