Recent content by Usifemoyo

  1. Usifemoyo

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anayeuza eneo/shamba

    Mkuu vipi huko Mzenga udongo unasupport kulima Korosho?
  2. Usifemoyo

    Hivi kwanini tunawabadilisha watoto wetu majina asilia baada ya ubatizo au kubadili dini?

    Tumeaminishwa kuwa majina ya kizungu/kiarabu ni bora zaidi kuliko majina yetu ya asili na pia tumeaminishwa kuwa kutumia majina haya mapya ni aina fulani ya ustaarabu au kuelimika. Lakini pia tumedanganywa kuwa baadhi ya majina yetu ukimpa mwanao atarithi tabia za jina hilo kama liliwahi...
  3. Usifemoyo

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Kwangu hii ni mara yangu ya kwanza kufanya kilimo hiki. Ila niliambiwa kuwa inaweza kutoa debe 12-18. Jibu sahihi kabisa nitakalokuwa na uhakika nalo nitalipata nitakapovuna maana hayo ndio yatakuwa matokeo halisi ya kutoka field kwa experience yangu mwenyewe. Labda kwa wadau wenye experience...
  4. Usifemoyo

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Tunamshukuru Mungu maendeleo ya mazao yanatia moyo, tuna matumaini ya kupata. Kwa hali ya hewa bado inasapoti kulingana na nature ya maeneo niliyolima, japokuwa mvua zinanyesha sana ila maeneo niliyolima hayatuamishi maji ni maeneo ya juu kidogo hivyo athari za mvua hazijaonekana sana hivyo...
  5. Usifemoyo

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Mwaka huu nimefanya majaribio ya kulima ufuta wilaya ya Malinyi. Nimelima hekari 10, sijalima kitaalamu badala yake nimelima kama wakulima wa maeneo hayo. Gharama za uendeshaji kuanzia December 2019 hadi sasa March 2020 ziko kama ifuatavyo; Kukodi eneo hekari 10@30000 = 300000...
  6. Usifemoyo

    My mother is dying of Cancer

    Inaumiza sana! Pole sana Paula Paul kwa kuondokewa na mama! Mungu ameruhusu leo mama yetu ahitimishe safari yake ya hapa duniani! Jina la BWANA lihimidiwe! Mungu awatie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu cha msiba! Apumzike kwa amani mama yetu!
  7. Usifemoyo

    My mother is dying of Cancer

    Pole sana dada Paula Paul kwa maumivu anayopitia mama! Madaktari wanatibu lakini Mungu ndio anaponya. Afya, uhai na uzima unatoka kwa Mungu! Kwa uwezo wa Mungu mama anaweza kuishi zaidi ya siku walizotaja madaktari! Mungu wetu ni mwaminifu. Nitaomba kwa ajili ya afya ya mama yetu!
  8. Usifemoyo

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Binafsi sijafanya kazi zangu tangu jana kwa sababu ya taarifa hizi za kizushi. Ninachokiongea namaanisha sio kama wewe unayedhania tunafanya siasa! Kuna kazi zilitakiwa weekend zikamilike zimeshindikana hivyo nalazimika kufanya compensation jumatatu na jumanne na hivyo ratiba nzima ya wiki...
  9. Usifemoyo

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Nafikiria ingekuwa inawezekana kwenda kufungua kesi mahakamani kwa athari niliyoipata kutokana na taarifa hizi za uzushi. Waanzilishi wote wa mada pamoja na wahariri wa majukwaa wamesababisha taharuki na pia wameniathiri mimi kama msomaji wa mitandao. Kuna kazi nilishindwa kufanya tangu jana...
  10. Usifemoyo

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Kwa hiyo unamaanisha kwa kuwa halijatimia walilotaka wao basi naye aje ashughulike nao atakavyoona inafaa? Kwa mawazo hayo ni ngumu sana hata kupasiana vijiti vya uongozi kwa vyama vingine maana wanawaza wakipata nao wawashughulikie waliopata, nani yuko tayari kushughulikiwa? Tusipende sana...
  11. Usifemoyo

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Mungu wetu amesikia maombi yetu kwa mpendwa wetu. Kwa aina hii ya watu waliokuwa wanazusha, nasimama na rais wetu!
Back
Top Bottom