Recent content by Ushirombo

  1. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Tangu juzi nipo mitaa ya Barcelona kashinda derby 4-0 lakini sijaona mabango ushamba mzigo

    bila picha itakua ni porojo tu
  2. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Hongera
  3. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mrejesho ujenzi wa barabara za Kitunda

    Au unasemaje boss
  4. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mrejesho ujenzi wa barabara za Kitunda

    Hiyo inawatosha, nyie hamna mchango mkubwa kwa taifa haaaaah haaaah,huko mpo wafuga kuku tu tuwaletee barabara ya nini
  5. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ni mwamba wa siasa za Tanzania

    Una kipimo cha umwamba?
  6. Ushirombo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

    Sijui kama kuna ulazima magroup ya damu baba na mtoto yafanane,sio kweli.
  7. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Uwiano sahihi kati ya mchanga na cement mfuko mmoja kwa ajili ya kuchapia nyumba

    Mfuko mmoja weka ndoo za lita 10, tisa,ratio ya serikali
  8. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Wanaozima taa za nje Usiku huwa na maana gani?

    Tunawapisha wachawi wafanye kazi yao kwa amani
  9. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Hivi mnyama Ngamia huwa anaambiwa Nini na wachinjaji mpaka anaanza kutoa ishara ya kulia (machozi) na Kisha kuelekea kibra ili achinjwe??

    Huwa anaambiwa unaenda peponi huko utakuta mabikira 70 wa ngamia wanakusubiri,lala basi tukuchinje,basi ngamia anaanza kulia huku anatamani hao mabikira
  10. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Bia za kununuliwa kuagiza Savanna, Desperados na Redbull huo ni ushamba

    Sa si umempa uhuru wa kuagiza? Na ulimuita mwenyewe au
  11. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Utapeli gani ulifanyiwa hautosahau?

    Hii sio kutapeliwa,huu ni uchawi
  12. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mama Mwarabu bado yupo Mabibo Hostel?

    Enzi zenu ndo miaka gani?
  13. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Familia ya Membe yamkana aliyejiita daktari wake, yaapa kumpeleka mahakamani

    Wamemtaim aiseee dah,dunia hii ni kuviziana tu,
  14. Ushirombo

    JamiiForums Tanzania Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa

    Acha gongo na k vant
Back
Top Bottom