Recent content by Ushindi Daima

  1. Ushindi Daima

    Nyalandu: Niliamua kuacha Ubunge baada ya kuzuiwa kwenda kumuona Lissu

    Kwa sasa anatekeleza nini!? Chama chakavu kila siku kinashine
  2. Ushindi Daima

    Nyalandu: Niliamua kuacha Ubunge baada ya kuzuiwa kwenda kumuona Lissu

    Tunaweza kupata picha ya hao watu majuha aliowaliza? Maana hapa naina picha yake mzee wa Twiga
  3. Ushindi Daima

    Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

    Mkuu wala hawalazimishwi tena unaweza ukalipa kwa awamu ila kwa muda mfupi. Hapo ukiangalia hiyo picha sioni kama DC amemlazimisha ila huyo mama ameshavaa kitambulisho ambacho ni kama DC anakikagua. Sema wewe picha umeipa maneno!
  4. Ushindi Daima

    Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

    Hivi kama angekuwa anatoa shilingi 200 kwa kila siku ndani ya siku 200 atakazofanya kazi itakuwa ametoa elfu 40. Sasa unafuu uko wapi kuchukua kitambulisho kwa elfu 20 au kukata ushuru wa elfu 40 kwa siku hizo 200 na nimefanya siku 164 hajafanya kazi. Maana ukipanga sokoni na maeneo rasmi kuna...
  5. Ushindi Daima

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kawaida yetu mida hii [emoji16]
  6. Ushindi Daima

    Jesca Msambatavangu ndiye nyoka wa SHABA, CCM Iringa Mjini

    Ukiona ni garasa basi ndio sahihi huyo. Wewe endekeza ushabiki maana mimi nipo kitafiti zaidi
  7. Ushindi Daima

    Mchungaji Msigwa Kutikisa Iringa Mjini, Uwanja wa Mwembetogwa kulipuka

    Nina miezi 4 sasa. Nipo karibu ba nyumba za Bank huku Mkimbizi. Pia karibu kesho Hospital ya Mkoa/Rufaa
  8. Ushindi Daima

    Mchungaji Msigwa Kutikisa Iringa Mjini, Uwanja wa Mwembetogwa kulipuka

    Wewe hapa ulilipwa bei gani? Maana umemuinamia mchungaji, muulize Gwajima wanatabia gani!
  9. Ushindi Daima

    Jesca Msambatavangu ndiye nyoka wa SHABA, CCM Iringa Mjini

    Salaam wana jamvi! Naandika uzi huu wa kitafiti kama sehemu ya JAMII TALKS, nikiwa na furaha ya ushindi wa timu yangu Liverpool kutinga fainal ya CL kwa kishindo dhidi ya Barcelona. Nirudi kwenye mada, last week nimetimiza miezi 4 toka nihamie Iringa kikazi nikiishi eneo la Mkimbizi, nimehamia...
  10. Ushindi Daima

    Nimevutiwa na haya maelezo kuhusiana na KHERI JAMES mgombea Uenyekiti UVCCM TAIFA.

    KWA UVCCM IMARA, MCHAGUE KHERI DENICE JAMES. Kwa muda mrefu utendaji kazi wa Jumuiya ya umoja wa vijana CCM (UVCCM) haijaweza ama kufanikiwa kugusa matarajio ya vijana wengi nchini hususani walio ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Ni vyema vijana tukitambua kuwa uchaguzi wa mwaka huu 2017 (bila...
  11. Ushindi Daima

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Hali ni mbaya zaidi kwa CHADEMA hasa kwenye haya matokeo ya udiwani katika Kata 43. Viongozi wa Chadema wanataka kutuaminisha kuwa uchaguzi huu ukiingiliwa na vyombo vya dola na mbinu chafu ya CCM. Lakini jiulize mbona hadi siku ya mwisho wamefanya na kufunga kampeni? Mbona jana hadi saa 5...
  12. Ushindi Daima

    DC Kasesela achana na ondoa mahaba na Membe ili Magufuli akupe ukuu wa mkoa

    Hivi nani asiyemfahamu Mkuu wa Wilaya ya Iringa kwa uchapakazi wake, ukada wake na umaarufu wake? Nilishangaa sana kutomuona ndugu Kasesela kwenye uteuzi wa juzi wa Wakuu wa Mikoa 6 ambapo Mheshimiwa Rais Dk. Magufuli alifanya mabadiliko madogo. Ila sasa nimepata majibu baada ya kurunzi langu...
Back
Top Bottom