Recent content by urusi

  1. U

    Mpenzi wangu na tatizo la uume kulala mapema na kutosimamisha kabisa, nini tatizo?

    Tatizo dogo sana. Ni mishipa ya damu huenda imeziba au alikuwa na Tabia ya kujichua. Aende kwa wataalamu wa Urology wamsaidie
  2. U

    CCM chama bora cha siasa duniani

    Umelogwa wewe sio bure!!!
  3. U

    Mume wa mtu ameniacha sijui kwa sababu nafanya kazi mazingira hatarishi!

    Kwahiyo mpaka akutafute yeye ndio umuone sio mjinga? Kwa haya uliyofanya inaonekana wazi busara huna na hufai kuwa mke mwenye kusisimua
  4. U

    Nilihukumiwa kwa kumpa mimba mwanafunzi ila nimeumia kwa hiki kilichotokea

    Ni ujinga wa hali ya juu sana kueleza ulitoka jela kwa njia za kiganga. Hayo ni mambo nyeti kwanini uyaweke hadharani!!
  5. U

    Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

    Umeandika sana bila kueleza hali ilivyojitokeza. Sisi hatukuwepo kwenye tukio
  6. U

    Msaada kuhusu timing ya kumpa ujauzito mwanamke

    Hoja inahitaji majibu na sio nani ana tatizo hilo, tuwe waelewa. Mwambie rafiki yako Siku ya 11-16 alengeshe hapo itajibu tu
Back
Top Bottom