Recent content by Urumbi0G

  1. Urumbi0G

    Kwanini maisha ni Ubatili?

    Ume panic huyu jomba yupo sawa " maisha ni ubatili
  2. Urumbi0G

    Wakuu naombeni msaada wa ramani Kali ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Kuna gesthouse mkuu siku hizi hamnaga kulala kwa mtu
  3. Urumbi0G

    Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

    Huu uzi umeenda shule mkuu ? Kwa mtu anaefikiri vizuri ataulewa ila kwa wale wenye dhiki za ngono hawawezi kuelewa kitu chchote
  4. Urumbi0G

    Ushauri: Nimeokota wallet yenye Tsh. 50,000 pamoja na risiti za miamala ya pesa nyingi nahofia kurudisha nahisi naweza bambikiwa kesi

    Hajasema wallet ina milion 10 """ amesema wallet ina risiti za miamala ya 10 m na 40m
  5. Urumbi0G

    Safu bora ya ushindi CHADEMA, Mkiti Lissu, Makamu Heche, Lema Mwenezi, Katibu Mnyika

    Ngoja tuone ila this time uwenyekiti ni kaa la moto
  6. Urumbi0G

    Nawiwa kuongeza mke wa pili

    Kwa uchumi nilionao hata mmoja ni tabu! Ila kama wewe ni mambo safi kipato kinagawanyika chukuwa hata kumi maana yako mengi sana mkuu!
  7. Urumbi0G

    Umepanga chumba kimoja unaoa ili iweje?

    mimi naishi mke na watoto 2 chumba kimoja ila nafanyaga timing ya kubadili nguo na kuhusu kitumbua hayo mambo nimeshasahaugi kabisa
  8. Urumbi0G

    Nusuru ndoa yangu

    Lijitu lina 0ver 37yrs linabadilikaje? Hiyo duka funga mpe kazi ya kulisha nguruwe na kuku
  9. Urumbi0G

    Maisha yananikatisha tamaa sana

    Nimemshangaa sana 26 tuu analalamika ! Lots of shits on you
  10. Urumbi0G

    Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

    Hapo kweli nimekupata uzi uko vizuri keep going
  11. Urumbi0G

    Arusha: wafanyabiashara waliofumwa sokoni wakiwa wamenasiana Mwanaume amlipa mwenye mke million 3 kunasuliwa

    Kila kitu ustake ushahidi hilo ni jambo la kweli ! Lilitokea hapa sokoni kilombero . Eneo langu la kazi
  12. Urumbi0G

    TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

    Hapo umenunua umeme wa buku 4 tuu ulikiwa unadaiwa hela ya jengo miezi minne ! So pliz usilalamike tena
Back
Top Bottom