Recent content by URSO

  1. URSO

    Zanzibar: Watalii wa kizungu wamwagiwa tindikali

    Hii balaa,Arusha mfanya biashara kapigwa risasi Dar msomi kapigwa risasi Zanzibar watalii wamwajiwa tindikali. Sasa nimeanza kuamini usemi alioniambia rafiki yangu mmoja leo mchana kuwa watu walikuwa wamefunga kutenda dhambi sasa leo wanafungulia.HII HATARI.
  2. URSO

    Itungwe sheria kudhibiti matumizi ya Loud speaker katika nyumba za ibada

    Ni kweli kabisa kila mtu anao uhuru wa mawazo. But unapotoa mawazo yako sometime ni vyema ukafanya consultation kwa wahusika ili uweze kujua ni kwa nini wanafanya hivo,kwa mfano kuweka speakers na loud speakers makanisani/misikitini ili hata kama wewe ni mpagani madaam uliumbwa na uyo Mungu...
  3. URSO

    Nifanyeje baba yangu mzazi ajue kwamba mimi ni mwanae?

    Pole my sister for what happen to you. But congrats for a stages you have achieved,of course damu ni nzito,na jambo zuri ni kwamba umefikia wakati wa wewe kujitambua na kumhitaji baba ako mzazi bila kujali alikulea au la and you okay with him.mimi naweza nikafikiri kwamba uyo baba yako mzazi...
  4. URSO

    Suala la elimu kutokuwepo kwenye katiba

    Hivi ni kwa nini Elimu lisiwe ni suala la kikatiba badala ya kuwaachia watu wachache kulishikilia?, Katika nchi zote zilizo endelea Elimu imewekwa kipaumbele cha kwanza na bila shaka hakuna kiongozi yeyote anayeweza kupindisha msimamo wa taifa juu ya mipango ya elimu yao iweje,nafikiri hii...
  5. URSO

    Mmiliki wa Facebook na wafanyakazi wake washerehekea kupitishwa kwa sheria ya ndoa ya jinsia moja!

    Majanga;Terrible.lakini tusijari sana yupo atakayependa usafi na atakayependa uchafu pia yupo. So msimamo wako binafsi ndo unamata zaidi. Mimi msimamo wangu ni kumweshimu Mungu aitwaye YESU KRISTO kumtumikia yeye na nimwelika ayaongoze maisha yangu. Na wewe amua wako
  6. URSO

    UKIMWI bila Pesa ni hatari...

    Mtumaini Mungu tu ndugu yangu yeye ndo last solution for each and everything,.YEYE NI MUNGU MTENDA MAAJABU DI ZO SIFA ZAKE.
  7. URSO

    Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

    Kuna watu nawaheshimu sana hapa nchini kwetu lakini uvumilivu unanishinda kuendelea kuwaheshimu kutoka na kutoa maneno midomoni mwao bila kuushirikisha ubongo.Toka nizaliwe ndo nasikia hii.eti mtu anaweza kuchukua bomu na kulipiga nyumbani mwake mwenyewe na huku anajua sifa za bomu likilipuka...
  8. URSO

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Kwani ni nani mwenye haki ya kuimwaga damu ya mwenzie hapa duniani na hapa tz kwetu?,hao watu waoruhusu hayo wanafurahia nn?
  9. URSO

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Poleni sana Arusha,unajua kumng'oa kupe kwenye kidonda hawezi kukubali kutoka hv hv,lazima hatoke na nyama. This is the sign of change,kama uamini fuatilia nchi zote zenye mabadiliko damu ilimwajika,ndicho kinachotekea ss tz,kwani hata kama kuna makosa wamefanya hao chadema kuna haja gani ya ku...
  10. URSO

    Rais Kikwete atuma salamu za pole kwa viongozi wa CHADEMA

    Look politicians, a day will come and you will be required to pay all evil you did to Tz This is not Tz i use to have,you have spoiled my country.Inafika wakati eti chama nacho kinatengeneza ka small jesh,si ndo mwanzo wa kuandaa waasi na magaid?.hawa wana usalama wanaliona hilo?,wanalinda...
  11. URSO

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Hii ndo bongo bwana,kama kawa kila kitu kinafanywa kiolela tu.nashangaa sana wakubwa waliipigia debe sana hicho ki star times,kuna nini nyuma ya pazia?. Nafikiri ikitoka star tv na ITV hicho king'amiz akina maana tena.so star times wajipange upya ua kama vp wasepe hapa bongo.
  12. URSO

    Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Huyu mzee inabidi tumfukuzie malawi maana anatuaibisha wana mbinga ,ila mda wake unakaribia mwacheni amalizie pumba zake maana hata sikika tena.
Back
Top Bottom