Recent content by urmi

  1. urmi

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Manyiramba huwa mazuri,Ila siyo machoyo
  2. urmi

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Ukifila hisia za mtu,unafumuliwa ubongo..waambie na Malaya wengine..siyo suala la faida na hasara
  3. urmi

    JamiiForums Tanzania Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

    Sema ruzuku,subsidy si kila mmoja ansjua
  4. urmi

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Bodi ya Ligi wamemzuia CEO wa Simba kuingia kwenye derby basi huu ni uhuni mkubwa

    Kama wamemzuwia kweli wamefanya Jambo la maana,haiwezekani watu wanahaha kutafuta wawekezaji kwenye mpira ili kuuboresha,we unaleta wakingese ngese,wamzuwie ligi yote
  5. urmi

    JamiiForums Tanzania Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

    Huwa sijadiliani na watu wenye kumbukumbu duni na uwezo mdogo wa kufikiri na kujengwa hoja
  6. urmi

    JamiiForums Tanzania Mbowe hatofungwa ila anampisha Rais ajenge uchumi kwanza

    Yupo sahihi,jamaa alileta mikato ya Uhuru wa manyani
  7. urmi

    JamiiForums Tanzania Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

    Dah,humu siku hizi Kuna vichwa maji wengi
  8. urmi

    JamiiForums Tanzania Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

    Una umri gani?!..elimu!?..huwezi shinda Vita bila Askari wa miguu
  9. urmi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mliokua mkisema Messi alikua anazungukwa na wachezaji wazuri Barcelona

    Hapo hakuna Kama no 8
  10. urmi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mliokua mkisema Messi alikua anazungukwa na wachezaji wazuri Barcelona

    Pele,maradona,okocha,Ronaldo,gaucho,Cristina,Messi ni wachezaji wasio na makala,usitarajie kuona wachezaji wa nanna hiyo ukiwa hai
  11. urmi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mliokua mkisema Messi alikua anazungukwa na wachezaji wazuri Barcelona

    Barcelona ilishakufa tangu 2015,wanaungaunga nyaya tu
  12. urmi

    JamiiForums Tanzania Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

    Namaanisha mapambano ya Ana kwa Ana ya bunduki,Vietnam,Afghanistan,Iraq,Somalia kote walipta tabu,waoga kinoma
  13. urmi

    JamiiForums Tanzania Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

    Angalia,mimba isije toka kwa chuki
  14. urmi

    JamiiForums Tanzania Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

    Palikua na helikopta zaidi ya mbili bna,Vita ya Ana kwa Ana marekani na hawara yake Israel hawaviwezi,ukiwazidi kidogo wanaleta ndege
  15. urmi

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Askofu Mwamakula kwenye kongamano la Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika wagusa wengi

    Joho linamuwasha,anatamani suti ya siasa
Back
Top Bottom