Recent content by uranium

  1. uranium

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Nipe bei
  2. uranium

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    215/70R16
  3. uranium

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

    acha bangi Dunia yenyewe haitodumu milele. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. uranium

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    kwani EL yule wa 2015 ndio huyu wa leo?! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. uranium

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Nakubaliana nawe 100%! Atakaelipa huo mkopo ni mwanafunzi na sio mzazi alelipa ada za private. Pia marejesho yana riba ambayo ni faida kwa serikali. Kila anaeomba apewe kwani wengine enzi hizo walisoma bure kabisa.
  6. uranium

    JamiiForums Tanzania Makonda kuweka umeme shule zote za msingi na sekondari jijini Dsm

    Usafi wa jiji! Ombaomba! Shisha! Mateja! Taxi meters! Garages! Showroom! Walimu kusafiri bure! N.k
  7. uranium

    JamiiForums Tanzania Channel ten inasoma magazeti elekezi tu!

    Nimeshangazwa na kitendo cha TV hiyo asubuhi ya leo iliyopo katikati ya jiji kusoma magazeti 3 tu, Habari Leo, Uhuru na Daily News. Hivi inawezekana kwa location walipo pale mtaa wa Jamuhuri/ Zaramo kuyakosa magazeti mengine au ndio wameshashikwa pabaya?!
  8. uranium

    JamiiForums Tanzania CCM ya Polepole imepoteza ushawishi kwa vijana

    Kwani Polepole ni kijana?!!
  9. uranium

    JamiiForums Tanzania Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya?

    Eti "NIMETUMWA NA MUNGU KUTIMIZA SHERIA" Mungu wa ccm au?!
  10. uranium

    JamiiForums Tanzania Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Yu wapi Magessa Mulongo?!
  11. uranium

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Ingekuwa China tayari tungeshamsahau. Ila kwa kuwa yupo kwenye genge la wenzie anaofanana nao hakuna noma.
  12. uranium

    JamiiForums Tanzania House4Sale Anayehitaji kununua apartment Upanga

    Huyu sio muhusika atakuwa kishoka. Bei sio siri
  13. uranium

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nitajiuzulu Ubunge kama Serikali itanionyesha tani milioni 1.5 za Mahindi

    Tani 1 = kilo 1,000 Tani 1,500,000 = kilo 1,500,000,000 sawa na kila raia Nchi nzima apate kilo 34!
  14. uranium

    JamiiForums Tanzania Sakata la ruzuku ya CUF: Kambaya na Mtatiro ndani ya Star tv

    Upo sahihi sana.
Back
Top Bottom