Makonda kuweka umeme shule zote za msingi na sekondari jijini Dsm

Hala hala tu asichangishe walimu, make kwenye media anatangaza anafanya nyuma ya pazia anawakamua walimu....
Hivi vile viwanja vya walimu vipi tushanunua cement eti tunasubiri viwanja tu :D
Mafanikio yke huwa ya uwongo wa kupikwa na mavuvuzela yke humu kma mbwa coco na wengineo
 
Usafi wa jiji!
Ombaomba!
Shisha!
Mateja!
Taxi meters!
Garages!
Showroom!
Walimu kusafiri bure!
N.k
 
Mafanikio yke huwa ya uwongo wa kupikwa na mavuvuzela yke humu kma mbwa coco na wengineo
Kwenye ujenzi wa aofisi za walimu, walimu wakuu manispaa niliyopo wamekamuliwa laki 2 na nusu za ujenzi ni lazima sio hiyari.
Ila kwenye media anaonekana nguvu zake teh
 
Kwenye ujenzi wa aofisi za walimu, walimu wakuu manispaa niliyopo wamekamuliwa laki 2 na nusu za ujenzi ni lazima sio hiyari.
Ila kwenye media anaonekana nguvu zake teh
Huyo tunamjua hajawahi hata kufanikiwa lolote zaidi ya issue ya tl kutaka kumtoa roho,mungu hajawahi kua upande wake hata cku moja
 
Jana Tu Nime Type Txt Apa Ya Kumkubali Makonda Kuna Jamaa Alini Mind Kwa Matusi Namshukuru Mungu Kwa Maana Makonda Anazidi Kupata Heshima ,,, I Think Anafaa Kua Prime Minister ,,,
Makonda ni kati ya wakuu wa mikoa hodari kabisa achilia mbali na utata wa vyeti. Hawa wengine wanaowasujudu mange na gwajima wakupuuzwa
 
Ni project nzuri saana,swali je hii iko kwenye Bajeti ya mkoa au ni pesa zake mwenyewe,na hizo shule zitatumia umeme bure au watakuwa wanalipa,tukumbuke elimu ni bure isitokee michango ya umeme
Big up Mkuu wa Mkoa
 
Makonda anacheza kiungo kama Tshishimbi yaani yeye anaminya na kupeleka mbele kwa Chirwa.
 
Back
Top Bottom