Recent content by uporo wa wali ndondo

  1. uporo wa wali ndondo

    Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

    Kwani tiss ni marobot na sio watu!??
  2. uporo wa wali ndondo

    Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

    Mbona wewe na baba yako jk hamjafa kenge nyie ndo mliomuua kipenzi chetu
  3. uporo wa wali ndondo

    John Mnyika, kuulalia mkeka uliochanika kunahitaji akili nyingi sana na sio nguvu

    Je yeye muhusika alikuambia ata akifungwa hana shida,??
  4. uporo wa wali ndondo

    Neno "HAPA KAZI TU" Layeyuka mithili ya Theluji wakati wa kiangazi

    Ni sawa tuu na kale kamsemo kenu ka "people's power" kalivyopotea kwa kasi ya moto wa petrol mpaka tulishasahau
  5. uporo wa wali ndondo

    CHADEMA tumaini la Watanzania

    Watanzania gani unaowaongelea!??
  6. uporo wa wali ndondo

    Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

    Hii ni aibu sana,wapiga kura wanashindwa kuelewa chadema wanataka nini,wao badala ya kuchukia kitu polepole anachoongea wao wanamchukia muongeaji ,chadema kutoka shimoni sio leo mtasugua sana matako.
  7. uporo wa wali ndondo

    Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

    Nchi imekuwa kama konyagi hafunguliwi pasipo kupiga kwenye kitako.
  8. uporo wa wali ndondo

    Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Ukiniambia kuwa corona inasababisha mvua zisinyeshe hapo naweza kuwaelewa lakini mengineyo ni uongo mtupu.
  9. uporo wa wali ndondo

    Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Umechanjwa,umenawa maji tiririka umevaa na barakoa lako bado ukapata covid msaliti wewe.
  10. uporo wa wali ndondo

    CHADEMA, Zitto siyo adui yenu

    Nyie si ndo wale mliomuweka lowassa kugombea kiti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. uporo wa wali ndondo

    Lissu na Lema hawataki Mbowe atoke gerezani?

    Ndio asemw tutashitakiwa na miga.?
  12. uporo wa wali ndondo

    John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

    Hilo haliwezekani ni mpaka nayeye abadirishe kabila na kuwa mchaga
Back
Top Bottom