uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,242
Watanzania gani unaowaongelea!??
Tena huyo Maiti mbobezi.Niwaite Wana JF wawataje maiti wanaonuka hapa jukwaani?Ukikosekana weye na vimbwenerehi wenzako akina nyenyenye sijui!😝😝😝😝
Maiti mwandamizi.Mbele kabisa akiongoza mnuko.😝😝😝😝Tena huyo Maiti mbobezi.
Uwezo wako wa kujua mambo ni mdogo sana hujiulizi kabla ya kufuata mkumbo,kwaakili yako hao makomandoo ulusikia walifukuzwa kazi lini na wapi na kwanini?Ingekuwa hivyo vibaraka wa lumumba wasingepeleka kesi ya kubumba ya ugaidi
Kama ndio tafakari Yako, basi utakuwa timu viroboto au timu bambikizi ya akina badluck &co.Toka nimeanza kufuatilia siasa sijawahi kumsikia mtu mwenye akili timamu aliyewahi kusema CHADEMA inafaa kuongoza nchi lakini nilichokisika mpaka sasa ni kwamba CHADEMA isife, na hii ni kwa sababu:
I) CHADEMA hakijawahi kusemwa kama chama cha siasa kwenye jamii licha ya kwamba ina usajili kwa msajili wa vyama vya siasa. Majina ambaye tumekua tukiyasikia juu ya CHADEMA ni SACCOS, Mali ya familia n.k
2)CHADEMA hakijawahi kujijenga kwenye misingi na amani, umoja na mshikamano ambazo ni nguzo za mtanzania.
3) Umaarufu wa CHADEMA si huu ambao tunaamini ndio humu JF, vijijini huko kuna wengine hata kirefu chake hawakijui achilia mbali kazi sake.
Safari ya CHADEMA kushika dola ni ndefu sana, inatakiwa ianze kwa kujenga falsafa inayoeleweka kwa Watanzania, kijenge mtazamo utakaofuta mtazamo wa wengi walioanao sasa kwamba CHADEMA ni saccos, inatakiwa itafute rasilimali watu wa kuaminiwa na kuaminika kuongoza nchi, watu kama Sugu na Lema ni mzaha.
Ruzuku tangu mmepora kwenye chafuzi jiulize usiowapenda iChadema ni chama cha kiharakati na matusi hamna zaidi ya hapo.
Sifa kuu ikiwa ni ukanda zaidi huku ruzuku ikitafunwa na wakubwa hapo ufipa.
Kule mashinani ni chama cha msimu na kisicholipa watumishi mafao.
Sera yake kuu ni kujadili watu na matukio badala ya hoja na sera.
Ufinitishi kwa wana CCM badala ya kufanya siasa zao wenyewe.
Mbona lowasa chini ya chadema alimgalagaza jpm akanyanganywa tonge mdomoni?Toka nimeanza kufuatilia siasa sijawahi kumsikia mtu mwenye akili timamu aliyewahi kusema CHADEMA inafaa kuongoza nchi lakini nilichokisika mpaka sasa ni kwamba CHADEMA isife, na hii ni kwa sababu: