HATIMAYE NIMEMALIZA KUSOMA PAGE ZOTE ZA MJADALA HUU MREFU ..... kwanzia saa moja usiku mpaka saa kumi nasoma tu ... Mimi nipo 2015 ( llb ) law kwa tutakao onana inshaalah . Natumaini mjadala huu ni wa baraka mno kwa kijana au binti yeyote anayetegemea kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma ...
kato nimechunguza sana majibu yako :angry: UNA- MAJIBU YA OVYO !!! JIREKEBISHE MWANA .. kila mtu yupo hapa anatafuta msaada na hujui ameshapitia matatizo mangapi mpaka kufika kwenye kurasa hii kutafuta majibu ya maswali yake ... Tafadhali kuwa mstaarabu kama kuna jibu KAUSHAA acha kujidai...
acha tu tupendelewe bwana we unafkiri kusomea sheria kitu cha mzaha ?? uliza uambiwe sheria sio social science...we unawaza starehe za chuo?? sijui kama hata ukifika pale utapata hata muda wa kwenda kwa wajas:spit:
:cool2: naona kuna haja ya kuwa samaki mwaka huu ... swimmming pool ipo humanities?? na gym ?? aisee ... ntakuwa baunsa .... sasa mnaweka gym mtu ukibeba chuma zako chache ...ukijihisi misuli inawasha unapashia wapi ?? kuna punching bags?? au tunasubiri wezi tuwafanyie majaribio :A S wink:
nimechaguliwa udom 2015 .. sijui wanafungua lini ... sijui kuhusu accomodation ...sijaweza hata ku download application form maana nikijaribu ku login inakataa msaada RAISI WA CHUO:hail:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.