Sisi ajira mpya kada ya afya halmashauri ya wilaya ya Shinyanga hatujapewa pesa ya kujikimu tunateseka sana viongozi wamekaa kimya hakuna anayeongelea hili jambo. Maafisa utumishi wanayo lugha chafu Kuna mmoja anaitwa Sarah
Route mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra...
Sometimes google map hazisemi ukweli kama huwezi kujibu pita hivi ...nilitaka nijue kama halmashauri ipo mjini au vijijini sana baada ya kushuka kwenye bus
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.