Recent content by Upembuzi Yakifu

  1. U

    Tujuzane taasisi za binafsi zinazojali wafanyakazi wake na maslai mazuri

    Uzi kama unavojieleza, tujuzane sehemu nzuri za kutafuta ugali wakuu. Yani ukipata hapo angalu maisha yanaenda. Mimi naanza na hizi japo sijui naskia sikia watu wakisema. 1.TCC - Sigara 2.Mbeya Cement 3.Barick 4.TBL 5.Coca Cola
  2. U

    Ushauri: Wilaya za Kibaha na Bagamoyo zihamishiwe Dar es Salaam, Mbagala na Kigamboni zipelekwe mkoa wa Pwani

    Iv mtu wa Rufiji , Kibiti , Mkuranga, Bagamoyo na Chalinze wakiwa na shida ofisi ya Mkuu wa Mkoa wanaenda wapi ?
  3. U

    Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Naendelea kufatilia maoni wadauu huku nikiendelea kusaka mtoto pia
  4. U

    Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Na je kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kupata mafanikio baada ya kuoa?
  5. U

    Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi. Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
  6. U

    Ushauri: Maafisa uajiri wa taasisi binafsi waajiriwe au wasimamiwe na Serikali

    Angalia wanapoenda kinyume na utaratibu nini kinatokea mkuu ,
  7. U

    Ushauri: Maafisa uajiri wa taasisi binafsi waajiriwe au wasimamiwe na Serikali

    Baada ya kuwaza kwa muda mrefu ningependa kushauri baadhi ya taasisi binafsi hasa zenye wafanyakazi zaidi ya 200+ zisimamiwe na Serikali direct kwa kuajiri HRs au HR waripoti Serikalini na sio kwa waajiri binafsi kama ilivo sasa. Sababu za kufanya ivyo na faida zake: 1. Kumwezesha HR kusimamia...
  8. U

    Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Najuta kutokusoma science nikasomaga HR. Mpaka leo nmekaa na Upper second ya Mzumbe ndani
  9. U

    Tanroads Iringa, Rukwa- Sumbawanga

    Kuna mtu unakuta anaona hi post kabisa ila anatuchora tu coz anajua kinachoendelea
  10. U

    MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

    Sio ujinga mbona wakienda kula bata na watoto wao wanatuonyesha ??? Watuonyeshe UTU pia tuujue
  11. U

    Je tajiri Mo anauchungu na watu wa taifa la Tanzania?

    Ndugu wana Jf sote tunakumbuka MO alipotekwa na watu WASIOJULIKANA taifa lilivyopaza sauti , je haoni ama hasomi vyombo vya habari kujua kuna mtu katekwa kama yeye ?? Japo kutoa ni moyo sio maonyesho lakini tumepata msiba wa ndugu na Mtanzania mwenzetu MFANYABIASHARA MWENZAKE je haoni ata...
  12. U

    Asilimia 61 ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania hawafai kwa ajira

    NAOMBA UTAFITI WAO USOMEKE IVI, ASILIMIA 61% YA WAHATIMU WA VYUO VIKUU TANZANIA HAWANA UZOEFU NA CONNECTION ILI WAWEZE ATA KUPATA NAFASI YA KUJITOLEA KWENYE MAENEO YA TAALUMA ZAO.
  13. U

    Tanroads Iringa, Rukwa- Sumbawanga

    Kamlete imeshapita nini ??
Back
Top Bottom