kapanda na kuwa kamishina mkuu,yaani ni ngazi moja na IGP,CGP,CGM na kwa msaada zimamoto ni jeshi liloloundwa kwa muji wa sheria namba 14 ya mwaka 2007,hivyo kutambulika kama jeshi LA zimamoto na uokoaji ambalo linaongozwa na commissioner general of fire(CGF) xo vikosi vyote vilivyokuwa chini...
Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi kisicholainika kwa muda wa zaidi ya wiki moja nimepima TB Sina, ila hakiishi kinakuwa kigumu sana.
Naombeni msaada kwa anayejua tiba asanteni.
huu ni unafiki Mkubwa sana sijui watanzania tumelaaniwa na nani,kwanini wasingemshitaki wakati akiwa ccm kama kweli ccm ni waadilifu?ukiiba ukiwa ccm ni safi ila ukitoka ccm ni kosa tuwe makini sana na hawa watu
hongera sana umeonyesha uzalendo Mkubwa sana na pia ukomavu wa kisiasa ulio washinda ma Dr na prof,taifa linahitaji watu kama wewe,umenifunza jambo kubwa sana
wanakera sana,tizama wamewashawishi RAIA wamekubali kufanya mabadiliko then wanafarakana huu Mimi nauona kama ni unafiki Mkubwa na wachumia tumbo pili ni kuwasaliti watu waliopoteza maisha yao na wengine kuwa vilema kwaajili yakuwaunga mkono ktk harakati za kuleta mabadiliko,ndugu tuachane na...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.