Muda wa mafunzo ya Jeshi la zimamoto

Muda wa mafunzo ya Jeshi la zimamoto

fellyjr

Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
53
Reaction score
21
Jamani naombeni msaada eti jeshi la zimamoto linatoa mafunzo yake mkoa gani na kwa muda gani?
 
Chuo cha magereza kiwira kwa mafunzo ya awali, kwa maofisa ni chuo cha magereza ukonga
 
chuo cha kijeshi cha zimamoto na uokoajo mkoani tanga kiitwacho chogo kitaanza mwaka huu pia no miezi sits ila inaweza kuzidi na siyo kupungua
 
Back
Top Bottom