Recent content by Unyevu nyevu

  1. U

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Mnao subiri "ukombozi" toka vyama vya siasa mtasubiri sana!
  2. U

    Mambo MATANO{5} yakufanya ili mdada akupende

    Unataka mwanamke/msichana akupende na kutokuacha kamwe? Basi fanya yafuatayo: MOSI,Mpe hela, hilo likishndkana, PILI MPE FEDHA, Bado hakupendi? Tatu,aisee toa PESA, nne,MPE hela, na mwisho,MPE HELA! Lazima atakupenda tu!
  3. U

    Nimeamua sasa......

    Aisee Katavi,nimechekaa,hadi wafungwa wenzangu wamenishangaa
  4. U

    Hamjamboo? Mwenyekiti mpya huyoo..

    pana unyevu nyevu hapa,ukija kichwa kichwa unateleza na kuangukia pua
  5. U

    Hamjamboo? Mwenyekiti mpya huyoo..

    Usikatize,hapana njia
  6. U

    Kirefu cha Hii Sentonso

    Kaka zangu wana wake [note a space between wana na wake]
  7. U

    Hamjamboo? Mwenyekiti mpya huyoo..

    Jamaa mmoja hv jina lake ni la watu wa pwani hv
  8. U

    Chubwi Chubwi

    Elezea kwa mfano wa picha labda nitaelewa funzadume
  9. U

    Hamjamboo? Mwenyekiti mpya huyoo..

    Ni mwenyekiti wa kijiji cha tukundane. Amekamatwa na ngozi ya kobe,eti alikuwa anakuja kuiuza chit chat,kama masharti ya uganga ya wagombea umiss humu!
  10. U

    Tufahamiane vibisa wa Chit Chat....!!!

    Mh! Wewe ni @st.paka mweusi? Au mathematics?
  11. U

    *get well soon arushaone*

    In the name of Jesus,may you get quick recovery,amen.
  12. U

    Tufahamiane vibisa wa Chit Chat....!!!

    Ulituma ombi ili mwenyekiti akutongozee?
  13. U

    Chubwi Chubwi

    akhuu,mi sipo jerrymsigwa!
  14. U

    Chubwi Chubwi

    A na B! A na B! Naimba jamani,naingia taratiibu ndani ya ukumbi huu adhimu,nawategemea sana!
Back
Top Bottom