Recent content by Unstoppable upon

  1. Unstoppable upon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa Nahitaji Mke

    Mungu akupatie hitaji lako
  2. Unstoppable upon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti hawaamini tupo wanaume tunaotoa misaada kwa dhati ? hii tabia yao ya kuhisi wana deni la kutoa penzi inanichosha

    Kuwa mwanamke na usijitambue changamoto sana
  3. Unstoppable upon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu gani uliwahi kukutana naye mara moja tu hujakutana naye tena mpaka leo unatamani umuone kwa mara nyingine

    Brother Khalid, alikuwa anaenda Rwanda sijapata kumuona tena
  4. Unstoppable upon

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za Rais Samia akiwa Ngerengere

    92kj
  5. Unstoppable upon

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haiwezekani kutokea machafuko wala mapinduzi ya kijeshi

    Sababu kubwa ni njaa ya pesa tu kwa hao wanaotakiwa ku-traore 🇲🇼
  6. Unstoppable upon

    JamiiForums Tanzania Yani hapa sijanywa hata chai kuna mtu ana yadi ya magari ya mabilioni nyumbani kwake, Tanzania hakuna haki.

    Aliemwambia padre asioe Ndio huyo kamwambia shekhe aoe wake 4
  7. Unstoppable upon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Kujifungia ndani weekend ikifika niwe na Bando Movie Msosi Hata sikumbili sitoki nje
  8. Unstoppable upon

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini CCM Morogoro wamepeleka mkutano wa SAMIA viwanja vya Tumbaku?

    Abood bus zimeanza kusombelea wanafunzi mapemaaa
  9. Unstoppable upon

    JamiiForums Tanzania Wana haki kuzuia maoni kwa akaunti zao ambazo zinashiriki na CCM

    Huku abood bus zimeanza kusombelea watu, tutafika tu hata kwa kutambaa
  10. Unstoppable upon

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Tutafika tu ila kila mmoja afike na alichobeba
Back
Top Bottom