Recent content by unspecified1994

  1. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

    Inawezekanaje mtu aliye rukwa akili akaendelea na kutoa huduma kwa jamii? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Jamani msaada wa ushauri,nimelala na mme wa dada yangu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

    Picha mwanzo hazikuweza kupanda mtandaoni
  4. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

    Picha mwanzo iligoma samahani kwa hilo
  5. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

    Producer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama mafia, amefariki kwa ajali ya kuzama na maji kisiwa cha Mbudya.
  6. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Mtu kufariki punde baada ya kuonana au kuongea na wewe

    Mshanajr njoo ututatulie
  7. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mafua kwa mtoto

    Pole kwa tatzo hilo kwa mwanao. Vyanzo ni vingi sana pia angalia pia parfum ama spray unazotumia huenda zinamletea hali hyo na anaweza kuwa na allergy na vitu vya harufu kali kwa mseaada wa haraka aweze kufunguka njia ya hewa mpatie Ephedrine nasal drops vile vile zingatia kumyonyesha mara kwa mara
  8. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unajua jinsi ngono yenye nguvu ilikuwa, huwezi kuwa na mtu yeyote tu

    sawa mkuu nimependa ushauri wako
  9. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unajua jinsi ngono yenye nguvu ilikuwa, huwezi kuwa na mtu yeyote tu

    itakuwa umebeba mawe kichwani.. yatue kwanza ndio usome tena
  10. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unajua jinsi ngono yenye nguvu ilikuwa, huwezi kuwa na mtu yeyote tu

    inawezekana akatubu kisha kujutia na kuanza upya.
  11. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unajua jinsi ngono yenye nguvu ilikuwa, huwezi kuwa na mtu yeyote tu

    Ikiwa unajua jinsi ngono yenye nguvu ilikuwa, huwezi kuwa na mtu yeyote tu. Wakati wa ngono kuna kubadilishana mbili tofauti zinazofanyika, kimwili na kiroho. Watu wazima zaidi wanajua mabadiliko ya kimwili. Lakini pili ni hii ya kiroho ambayo watu wengi hawajui. Unapofanya ngono na mtu...
  12. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Msaada kuathirika na Msongo wa Mawazo

    habari ndugu.. msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko inayotokea malengo yetu yasipotimia au tunayofikiri hatafanikiwa... kwa mfano kuwa na wasi wasi kwa jambo ambalo unafikiri halitokuwa sawa..... msongo wa mawazo unaweza kujidhihirisha kwa kuumwa kichwa kwa muda mrefu, kukosa usingizi, hamu...
  13. unspecified1994

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko: Amteua Ally Hapi kuwa RC Iringa; Jokate, Jerry Muro, Katambi wawa Wakuu wa Wilaya

    tulianza kwa kutumbua majipu sasa hivi tunapandikiza mbegu..
Back
Top Bottom