Recent content by unkown_member

  1. U

    JamiiForums Tanzania Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Komaa mama komaaa lazima akome, chepuka kumkomoa tu, ukipata ngoma, herpes, kaswende, gono, au kisonono atakuwa amekoma,
  2. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kipimo cha Unigold huonesha maambukizi ya HIV baada ya siku 3!?

    Asante mkuu kwa elimu nzuri, japo umeconclude hovyo!! Mimi nililenga kupata elimu na sio vinginevyo!!!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kipimo cha Unigold huonesha maambukizi ya HIV baada ya siku 3!?

    Zile rapid Test za combo hapa tz zipo!? Na je wale wa Damu salama wanatumia kit gani kupima maambukizi!??
  4. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kipimo cha Unigold huonesha maambukizi ya HIV baada ya siku 3!?

    Thanks kwa ufafanuzi, nilishangaa sana aliponiambia eti within 72hrs sikutaka kumbishia maana yeye ni mtaalamu na amekutana na case nyingi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Una maanisha gunia la kilo mia ni elfu 80!? Asee bei rahisi saana hiyo! Naomba namba yake huyo jamaa
  6. U

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu KKKT lamtenga Askofu Malasusa

    Huyu jamaa aliwahi kusema pombe ni halali kwa wakristo eti cha msingi usilewe
  7. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

    Mkuu tofali 1400 unajua zinajenga nyumba ya room 3 masterbed room, stoo, jiko na sebule
  8. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

    Itatosha
  9. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kipimo cha Unigold huonesha maambukizi ya HIV baada ya siku 3!?

    Mkuu, kuna rapid Test za zinazodetect both antibodies and antegen, hizi wanaziita combo zikitumika window period ni siku 28 tu, lkn SD Bioline hiv 1/2 zina uwezo wa kudetect 95% by 28 days na hizi hudetect antibodies only. Sasa swali langu ni juu ya hizi kit za unigold
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tusiwanyanyapae wenye maambukizi

    Kinapima antibodies Specific kwa hHIV
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tusiwanyanyapae wenye maambukizi

    Asee yaani unaweza ukawa mjanja lakn usiombe kabisa yakakukuta! Sa hv sitaki mchezo kabisaa!! Hata Papuchi siitaki
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tusiwanyanyapae wenye maambukizi

    Katika pita pita zangu nikiwa kama kidume rijali mwaka jana mwezi wa sita nilitapa ajali! Nilipata bahati mbaya ya condom kupasuka basi baada ya kupasuka nikamaliza kula tunda nikamwambia bibie tukapime nikiwaza ili nianze kugegeda kavu kavu! Looh kumbe bibie ameungua (ni anaishi na...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kipimo cha Unigold huonesha maambukizi ya HIV baada ya siku 3!?

    Juzi jumapili nilikwenda kupima HIV katika maabara moja hivi! Yule lab technician alinipima moja kwa moja kwa kutumia kipimo cha unigold!! Mimi nafahamu kuwa kwanza hutumika SD Bioline HIV 1/2 iwapo kikireact ndio unigold inatumika kama confirmatory test. Katika maelezo yake yule lab technician...
Back
Top Bottom