Je, ni kweli kipimo cha Unigold huonesha maambukizi ya HIV baada ya siku 3!?

The Hamer

Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
15
Points
75

The Hamer

Member
Joined Mar 28, 2018
15 75
Tunaanza na sd bioline sabab iko more sensitive than specific...... Kuwa sensitive inamaana inaweza kudetect hata magonjwa mengne mbal na HIV..... Mfano ukiwa na baadhi ya venereal diseases sd bioline itareact positive...... Hii huchukua dakika 3 mpk 10...... Baad ya hapo majibu mengne iletayo ni invalid kwa sabab ukiiacha baad ya masaa inaweza chora mstar wa pili..... So baad ya dakika 3~10 kuonesha negative it means hauna....... Mistar mingne ikijitokeza baad ya hapo dont consider them.

Baad ya hapo huwa tunahamia kweny unigold endapo sd bioline imereact positive..... Unigold iko more specific than sensitive na hutumia 5 to 15 minutes only........ Majibu mengne baad ya huo muda consider them invalid..... Kwa hiyo itareact positive endapo only una HIV infection..... Km hauna haiwez react positive hata km una magonjwa mengne ambayo sd bioline hureact positive, hio ndio maana ya specificity..... Yan inareact only in HIV antibodies.......
Hio ndo sabab ya kutumia unigold as confirmatory test endapo sd bioline imereact positive..

Kwa hiyo huyo jamaa aliekuambia baad ya siku 3 ndo inaleta majibu kakuingiza chakani..... Labd ulikuw positive akaogopa kukumbia kiaina sabab kudeliver majibu ambayo ni positive kwa client huwa ni shughuli pevu....
 
unkown_member

Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
27
Points
75

unkown_member

Member
Joined Jan 31, 2018
27 75

Asante mkuu kwa elimu nzuri, japo umeconclude hovyo!! Mimi nililenga kupata elimu na sio vinginevyo!!!
 
obas7x7

Senior Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
149
Points
225

obas7x7

Senior Member
Joined Sep 3, 2017
149 225
Juzi jumapili nilikwenda kupima HIV katika maabara moja hivi! Yule lab technician alinipima moja kwa moja kwa kutumia kipimo cha unigold!! Mimi nafahamu kuwa kwanza hutumika SD Bioline HIV 1/2 iwapo kikireact ndio unigold inatumika kama confirmatory test. Katika maelezo yake yule lab technician akagusia kuwa kina uwezo wa kuonyesha maambukizi baada ya masaa 72 (siku 3)!
Majibu yakawa negative!!

Nijuavyo mimi kutoka maandiko mbali mbali kipimo cha unigold hutumia antibodies kuangalia maambukizi ambapo mwili huchukua kuanzia siku 21 hadi 84 kudevelop detectable antibodies na pia inaelezwa kuwa 95% hugundulika wiki ya 4 (siku 28) kwa kipimo hichi cha antibodies!
Lakini pia nijuavyo mm unigold hutumika kwa ajili ya confirmatory baada ya rapid test nyingine kuonyesha reactive!!

Maswali
1. Je ni kweli kuwa unigold ina uwezo wa kugundua maambukizi baada ya masaa 72 (Siku 3)

2. Je ni kwann unigold hutumika kwa ajili confirmatory test!? Inamaanisha kuwa kipo morden zaidi!?
1.Unigold haina uwezo wa kugundua maambukizi ndani ya masaa 72 kwa kua unigold ni kipimo kinachosoma antibody yaani kinga mwili zinazozalishwa baada ya kuingia kwa VVU mwilini. Kwa walio wengi kinga mwili hizi huanza kuzalishwa kuanzia wiki ya nne tokea kuingia kwa VVU mwilini. Hivyo ni kwamba Unigold ina uwezo wa ku detect kingamwili hawa kuanzia wiki ya nne ila ni kwa asilimia ndogo

2.Unigold inatumika kama kipimo cha uthibitisho kwa kutokana na uwezo wake wa kugundua antibody wa vvu pekee tofauti na rapid test nyingine kama determine na SD bioline ambazo zinaweza kureact endapo utakua na magonjwa mengine ya zinaa utofauti upo hapo tu! hivyo kama bioline ita react negative hata ukienda kwenye unigold itakuwa neg ila Bioline iki react positive unaweza ukaenda kwenye ungold ikareact neg kutokana na uwezo wake wa kusoma antibody wa VVU tu! uwezo ambao bioline haina! ila kama na Unigold ikisoma +ve means una maambukizi ya vvu
 
wagidi

Member
Joined
Jun 14, 2019
Messages
90
Points
125

wagidi

Member
Joined Jun 14, 2019
90 125
Tunaanza na sd bioline sabab iko more sensitive than specific...... Kuwa sensitive inamaana inaweza kudetect hata magonjwa mengne mbal na HIV..... Mfano ukiwa na baadhi ya venereal diseases sd bioline itareact positive...... Hii huchukua dakika 3 mpk 10...... Baad ya hapo majibu mengne iletayo ni invalid kwa sabab ukiiacha baad ya masaa inaweza chora mstar wa pili..... So baad ya dakika 3~10 kuonesha negative it means hauna....... Mistar mingne ikijitokeza baad ya hapo dont consider them.

Baad ya hapo huwa tunahamia kweny unigold endapo sd bioline imereact positive..... Unigold iko more specific than sensitive na hutumia 5 to 15 minutes only........ Majibu mengne baad ya huo muda consider them invalid..... Kwa hiyo itareact positive endapo only una HIV infection..... Km hauna haiwez react positive hata km una magonjwa mengne ambayo sd bioline hureact positive, hio ndio maana ya specificity..... Yan inareact only in HIV antibodies.......
Hio ndo sabab ya kutumia unigold as confirmatory test endapo sd bioline imereact positive..

Kwa hiyo huyo jamaa aliekuambia baad ya siku 3 ndo inaleta majibu kakuingiza chakani..... Labd ulikuw positive akaogopa kukumbia kiaina sabab kudeliver majibu ambayo ni positive kwa client huwa ni shughuli pevu....
Nimeelewa, asante kwa elimu nzuri!
 
Maarko

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
1,136
Points
1,500

Maarko

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
1,136 1,500
1.Unigold haina uwezo wa kugundua maambukizi ndani ya masaa 72 kwa kua unigold ni kipimo kinachosoma antibody yaani kinga mwili zinazozalishwa baada ya kuingia kwa VVU mwilini. Kwa walio wengi kinga mwili hizi huanza kuzalishwa kuanzia wiki ya nne tokea kuingia kwa VVU mwilini. Hivyo ni kwamba Unigold ina uwezo wa ku detect kingamwili hawa kuanzia wiki ya nne ila ni kwa asilimia ndogo

2.Unigold inatumika kama kipimo cha uthibitisho kwa kutokana na uwezo wake wa kugundua antibody wa vvu pekee tofauti na rapid test nyingine kama determine na SD bioline ambazo zinaweza kureact endapo utakua na magonjwa mengine ya zinaa utofauti upo hapo tu! hivyo kama bioline ita react negative hata ukienda kwenye unigold itakuwa neg ila Bioline iki react positive unaweza ukaenda kwenye ungold ikareact neg kutokana na uwezo wake wa kusoma antibody wa VVU tu! uwezo ambao bioline haina! ila kama na Unigold ikisoma +ve means una maambukizi ya vvu
Sd bioline ikisoma postive na Unigold ikasoma negative hapo mpimaji anatoa majibu gani kwa mpimwaji?
 
Forum statistics

Threads 1,344,019
Members 515,307
Posts 32,805,427
Top