Chombe cha habari ni nguzo nyingine ya Dora ITV wapo sawa kabisa. Fanya utafiti nchi nzima utaona watu wengi wanaangalia taarifa ya habari ya itv na azam two
Dawa na wao ukawa wazunguke nchi nzima kumtambulisha mgombea wao. Angalizo: Polisi wasije kusema intelligencia hairuhusu halafu mtiti ndio utaanzia hapo sasa!
Katika hali ya kushangaza hapa katika kijiji cha Nyan'homango Misungwi nguzo za umeme zimeondolewa site baada ya kuwa zimerundikwa kwa takribani miezi miwili kwa lengo LA kuwahadaa wananchi kuwa watapata UMEME Kumbe ni hadaa ya mbunge ambaye pia ni naibu waziri wa nishati na madini mhe.Kitwanga !
Kama Chenge wanamuita kutoa ufafanuzi was ibara, kwa nini Jaji Warioba na akina Polepole nao wasiwe sehemu ya BMK ili kutoa ufafanuzi wa mile walichokiandika???
umbumbumbu unakusumbua kijana na hujui unachoongea, ama --------- tu! Tundu Lissu ameshinda kesi nyingi sana china usimamizi wake zilizofunguliwa na ccm kupinga matokeo ya ubunge wa wabunge mbalimbali wa chadema mf ilemela nk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.