Recent content by Unknown2

  1. U

    Hivi kuna nchi inayoendelea kwa kuwaweka think tank wao pembeni?

    .
  2. U

    Polepole na The Blacklist

    ,
  3. U

    Kama kuna mtu Team Wazalendo Mnatakiwa Kumlilia ni B.W. Mkapa

    .
  4. U

    Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    Muda wa kazi huwa ni uleule hata mishahara iwe mikubwa vipi
  5. U

    Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    8. Mtu anayefanya kazi za ziada nje ya muda wake wa kazi kwanini asilipwe.? Kama posho zinafutwa basi ziwe zile zisizo za lazima kama za wabunge au ziara viongozi kwani ni sehemu ya majukumu yao. 28. Wakulima wachache wenye uwezo wa kufikisha mazao yao katika masoko ya kimataifa. Nafikiri...
  6. U

    Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

    Chukua dakika kadhaa kwenye kumuomba muumba wako. Iweke akili yako yote hapo. It'll help. Talk to your lovely person... maybe your mom, friend etc... it'll easy the situation.
  7. U

    Wachambuzi wa Crown Sports, Hans Raphael na Geoff Lea wanabishana kama wanagombana wakiwa live kwenye kipindi

    Jemedari Said, Leah na Hans ni watu wasiopenda kushindwa, wakikosolewa ni kosa! Wana content nzuri, nafikiri wakiweka utaratibu mzuri wa namna ya kujadili hoja zao kipindi kitanoga. Hans kipindi yuko Wasaf alikuwa muelewa sana, akishatoa hoja yake anakaa zake kimya. Kama sio marketing...
  8. U

    PreGE2025 Sitamani kumuona Nchimbi akiwa Rais

    .
  9. U

    Dunia duara ukibisha muulize Nape na January Makamba

    Wenzenu wako wanapanga comeback, pengine ni suala la muda tu.
  10. U

    Dark days 17/03/20

    1. Kwa kuzingatia matukio mengi ya kifisadi na rushwa like Richmond, EPA, Kagoda, Ubinafsishaji wa bandari , matukio mengi ya rushwa regarding to CAG reports etc, ni wazi kwamba our Economic Intelligence ( Under SSIT) is not in action! Kwa mtazamo wako, ni kwanini hatuupi umuhimu uchumi wetu...
  11. U

    Hivi kwanini Prof. Janabi asiwe Rais wa Jamuhuri ya watu wa Tanzania?

    Matamanio yangu: Bashiru, Polepole, Mpina. Janabi ni mzuri lakini sasa ule utiifu wake kwa bwana yule unanipa mashaka.
  12. U

    PreGE2025 Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    1. Bashiru Ally Kakurwa 2. Humphrey Polepole 3. Abel Makubi 4. Luhaga Mpina 5. Kassim Majaliwa 6. Philip Mpango
  13. U

    Utabiri wangu: Yanga watashinda kwa mgoli 2 dhidi ya CR Belouizdad na yote yatafungwa na Mzize

    Bado utabiri wako haujawa subjective to changes? Unao muda wa kurekebisha mkuu!
Back
Top Bottom