Recent content by uniquelady

  1. U

    JamiiForums Tanzania Hiyo mimba tafuta wa kumpa, mimi nilikuwa napita tu

    Karma is a bitch ,yakikukuta pia tunaomba mrejesho .
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ana mchumba mwingine ila kampa mimba single mother

    ''Jamaa ana mchumba ambaye wako serious'' teh teh teh wanaume Bwana .....mi napita tu
  3. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Nina degree ya statistics

    2013
  4. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Nina degree ya statistics

    Habari za majukumu wakuu, Niko hapa jukwaani kutafuta fursa ya ajira ya muda au permanent. Nina uzoefu wa kusimamia miradi mbalimbali kama project coordinator, kukusanya, kuanalyze na kumanage data kwa ujumla kwa kutumia excel au statistical packages kama SPSS,STATA etc. Pia nina teaching...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashinda TUZO 3 AFRIMA Nigeria, Alikiba na Nandy ndio Washindi

    Closer bonge la dude
  6. U

    JamiiForums Tanzania NBS wadadisi wa mapato na matumiz kwa kaya binafsi.

    Watakwimu kibao tumeachwa mkuu na Mimi nikiwa mmojawapo,kiukweli sikuelewa kwanini
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kaniambia 'kuanzia leo usinitafute na hii mimba najua cha kuifanya', nifanyeje hapa?

    Haaaaaa....mwasherati mwenzake
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kajifungua, ni zawadi gani itamfaa kama shukurani?

    Such kind of a gentleman be blessed
  9. U

    JamiiForums Tanzania Anataka mchukua mwanangu kinyemela

    Hapo ,huna mpango wa kuzaa tena kwa sababu gani??? Please usimruhusu MTU mmoja akuaribie mipango yako bibie kwani wewe sio single mom wa kwanza kuna wenzako kibao walitelekezwa na wakaanzisha familia nyingine pia hawakuruhusu hiyo situation iwarudishe nyuma. Labda kama ulipanga kuzaa mtoto mmoja...
  10. U

    JamiiForums Tanzania I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

    Am very sorry mdogo wangu ,Mungu akupe ujasiri ila kwani naamini unapitia kipindi kigumu sana ,hata ningekuwa Mimi nahisi ningechanganyikiwa zaidi yako . All in all maisha lazima yaendelee uchukulie tu kama ugonjwa mwingine like malaria etc na ujitahidi kula vizuri na kufanya mazoezi pia ...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kwenye usahili ofisi za Takwimu Taifa (NBS)

    Haya ni kwa ajili ya utafiti wa kaya?wa mwaka mzima au kwa kilimo wadau
  12. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu haya matokeo ya TRA.

    Hongera sana ,kila la kheri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye sifa na matendo haya hutufanya tukose hamu ya tendo la ndoa

    Hahahahah namba saba noma ,nimecheka kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hataki kuja kujitambulisha kwetu ingawa wazazi na ndugu zake wananipenda sana

    Upo njia panda ???hilo sio suala la kuwa njia panda tena ,piga moyo konde uachane na huyo jangili dadangu muda mwingine upendo tu hautoshi kuwa kinganganizi kwa MTU ambaye hana mda wala future na were.GO WHERE YOU ARE APPRECIATED Sent using Jamii Forums mobile app
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amenizimia simu

    Nimeipenda hii kama ni kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom