Recent content by unique vee

  1. unique vee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

    Hatimaye wanawake masikini tumefikiwa
  2. unique vee

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    Somo zuri sana.Nilikuwa nataka kuanza biashara ya mitumba mwaka huu naomba kuuliza n sehemu gan wanapouza nguo za mtumba za kike grade A zinazoendana na fashion?naomba ushauri wako
  3. unique vee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio zawadi yangu ya Birthday kwa huyu mpenzi wangu

    N nzuri sana naamin ataipenda
  4. unique vee

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Natafuta vitabu vua economics na finance first year
  5. unique vee

    JamiiForums Tanzania Akaunti yangu ya HESLB inaonesha hivi, kuna tatizo gani?

    Vipi wamekurekebishia tayar?
  6. unique vee

    JamiiForums Tanzania Naapa kujiua

    Umesema mama yako anakupenda na ana hali ngumu ya maisha huku mdogo wako akikutegemea ukifanya uamuz unaotaka kuufanya huoni kama utawapa masononeko mama yako na mdogo wako?huoni kama wataishi maisha ya kujutia maisha yao yote.unapotaka kufanya uamuzi wowote mbaya angalia wa nyuma yako just...
  7. unique vee

    JamiiForums Tanzania Una miaka kuanzia 25 na bado upo kwenu huna hata godoro

    Hii inawahuau wakaka tu au hadi sisi wadada?
  8. unique vee

    JamiiForums Tanzania Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

    Sentence yako hiyo inamaanisha crdb wamechagua simba tu so hapo tulikuwa tunakusahihisha kuwa hata yanga wamesaini
  9. unique vee

    JamiiForums Tanzania Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

    Crdb wameona n muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua simba sababu wameona ukubwa wao[emoji1787]tafakati hiyo sentence yako
  10. unique vee

    JamiiForums Tanzania Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

    Kuwa wote wamesaini so hakuna ambaye ni mjanja kuliko mwenzio kwa kusaini hilo deal
  11. unique vee

    JamiiForums Tanzania Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

  12. unique vee

    JamiiForums Tanzania Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

    Mbona hawa crdb walianza kusaini na yanga kwanza juzi tarehe 1 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. unique vee

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Hapana sitokei huko ila mara nyingi nlikuwa naouna kwenye tv huo wimbo
  14. unique vee

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Jina mahenge limenikumbusha wimba wa enzi hizo.tumetoka kwetu mahengeeee tumekuja dar es salaaaaamaaaaa[emoji345][emoji346]
Back
Top Bottom