Recent content by Unique Creature

  1. Unique Creature

    JamiiForums Tanzania MASHINE YA AJABU INAYOVUNJA RECORD YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA WENGI ZAIDI.

    Imeundwa wapi? Dodoma mnatuma?
  2. Unique Creature

    JamiiForums Tanzania Incubator ni nini? Inatumikaje ? na ni kwa kiasi gani itaniongezea uzalishaji wa kuku wa mayai?

    Mkuu Ukiniuzia uliyo tengeneza mwenyewe sh ngapi?
  3. Unique Creature

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore akiusalimia Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Jakaya Kikwete kwa kuwapa 'tano'

    Ikitokea Janabi Kashinda, Sisi watanzania tuna faidika na nini?
  4. Unique Creature

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana: Hivi ndivyo nilivyofanya kuondoa aibu kufanya kazi duni ili nipate kipato

    Content ndefu sana Summirize mkuu
  5. Unique Creature

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Tazameni alichokuja nacho leo

    #Naona CCM kushika Nchi tena 2025-2030 #Naona Baadhi ya Wakeleketwa wa CCM kugonga Nyundo Usukani wa Gari Lao #Naona Raisi mwingine na Siyo SSH. #Naona Chadema Kulegeza Kamba za SSH.
  6. Unique Creature

    JamiiForums Tanzania Mwalimu kujiongezea kipato cha ziada

    Habari Wakuu Mi Ni Mwalimu Ajira Mpya Serikalini 2025. Nimeingia tu naona Mshara wangu Kizibo Afu Mahitaji Yangu Ni mengi sana. Naomba Ushauri, Nijishugulishe na Kitu Gani Kingine Ambacho kitaniongezea Kipato Changu. Naomba Ushauri wenu.
  7. Unique Creature

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni ajira gani zilizopo ndani Bachelor of education with science(mathematics and ICT)

    Habari wakuu, Nimekuwa Kimya sana toka nimeachilia uzi wangu. NINA OMBI:: Nimehitimu Mzumbe mwaka 2021 Bachelor of Science with education in Mathematics and ICT. Mpaka Leo Sina Kazi Hivyo Anayeitaji kijana , Najiamini mi Ni mchapa Kazi, Nipo Kimara - Dar es Salaam Natafuta Kazi. Nipo tayari...
  8. Unique Creature

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni ajira gani zilizopo ndani Bachelor of education with science(mathematics and ICT)

    Nimechaguliwa mzumbe ,Naombeni ushauri wenu ,Je katika kozi hiyo,ni upande gani ambao katika ajira zake inalipa,katika ishu ya fedha(mshahara). Mapondo myaweke pembeni
  9. Unique Creature

    JamiiForums Tanzania MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    Mkuu ,uko vizuri,ahsante sana kwa Uzi huo kuntu
Back
Top Bottom