Write your reply...Mbona mnatisha kijana ...Kuna wengine huku wamefika wakapokelewa sa hivi ni matajiri wengine viongozi na wana nyadhifa kubwa serikali tumia fursa unayoona itakufaa
Tatizo lako kwenye kuongoza ...hujui kama anaeongoza nae ataongozwa au mpaka upite kichochoro kwa kichochoro cha Arusha na Mwanza ukikuta mashoga ndo utajua huu mchezo umekithiri huko bara
Halafu na wewe ndo uko pwani Sasa jitayarishe na kizazi chako kama umeona ugonjwa huo uko pwani tu ....Mwanza Arusha pia pwani kule ...nahisi pwani ya Iringa karibu itaingia kwenye orodha Sasa sijui mtasema nini
Write your reply...Sisi waislamu hatuna msaada tena kwake kuhusu masuala ya kidini kwa sababu si muumini mwenzetu tena ...ushauri kuhusu masuala ya dini ya kiislamu ni kwa waislamu tu ...ushauri kwa hao wake zake kama hao wake zake wako tayari kumfuata na wamfuate haraka sana!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.