Recent content by Ungana

  1. Ungana

    Nilichosikia kuhusu HESLB

    Not true,wanaoomba kwenda vyuo pamoja na loans ni waliomaliza shule(tena form IV) tangu 1988,na wote hupata nafasi za vyuo ama loans ili mradi wanakidhi vigezo husika
  2. Ungana

    Kiingereza cha Diamond,The Sporah Show na kile cha Shigongo,Straight Talk Africa

    Anajitahidi kuongea na nimempongeza,issue inakuja anapotaka kujifanya yeye ni LeBron James au Shaquil O'neil
  3. Ungana

    Kiingereza cha Diamond,The Sporah Show na kile cha Shigongo,Straight Talk Africa

    Shaka hawezi kuajiriwa BBC?na VOA anafanya nini
  4. Ungana

    Mh. Edward Lowassa na vita dhidi ya taaluma ya mitandao ya kijamii (troll)

    Na wanaomtukana ni vijitu vilivyozaliwa tu miaka ya 90,hawajui hata historia ya nchi maskini
  5. Ungana

    Mh. Edward Lowassa na vita dhidi ya taaluma ya mitandao ya kijamii (troll)

    Wahayudi wangalijua Yesu ni Mungu wasingalimpiga na ndiyo maana Yesu alisema ''Baba uwasamehe maana hawajui watendalo"...namaanisha kusema,wanaomtukana na kumnyanyasa Lowassa sasa tuwaache tu waendelee kumtukana kwa bidii zaidi,they know he is a hard nut to crack,na wanasutwa na dhambi zao na...
  6. Ungana

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 2 Oktoba 2014 - Matokeo ya Kupitisha Ibara za Rasimu ya Katiba

    CCM kwa nyimbo hakuna wa kuwafikia,kila mtu manju
  7. Ungana

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 2 Oktoba 2014 - Matokeo ya Kupitisha Ibara za Rasimu ya Katiba

    CCM kwa nyimbo hakuna wa kuwafikia,kila mtu manju
  8. Ungana

    Askofu Benson Bagonza: Kwa matusi yake dhidi ya Kanisa, Samwel Sitta ni sawa na Goliati

    Huyu Sitta si ndo kila si ndo kabla ya Bunge la Katiba alikuwa anamtusi Lowassa kutokea kwenye mimbari zao au?
  9. Ungana

    Kiingereza cha Diamond,The Sporah Show na kile cha Shigongo,Straight Talk Africa

    Well,inatia moyo kuona waswahili sasa tunaanza kuwa majasiri wa kufanya interview za kiingereza(JAPO BROKEN) na hasa ujasiri huo unapofikia hatua ya kufanya interview katika vipindi vya TV vinavoangaliwa na watu wengi duniani kote.So,jana tar.30/9 nilimsikiliza Diamond akiamua kuwa jasiri na...
  10. Ungana

    Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

    Stupid,kwanini msimpeleke leo mnasubiri nini?STUPID PEOPLE DO NOT THINK
  11. Ungana

    Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

    Stupid people simply can't think....HIVI UNAPOSEMA AMEAMUA KUJITOA NI LINI ALIKWISHAJAZA FORM YA KUGOMBEA? He is making u wet your pants,certainly
Back
Top Bottom