Hapa Ndugai akishakalia kiti cha bunge anakifanya cha CCM, hata kama ---- mahali pa kutumia busara anaacha ili akitetee chama chake, alishidwaje kutumia hekima ya kumwambia F.Mbowe nakupa dk ama tutaisikiliza hoja yako kwa wakati flani kakimbilia mtoe nje? Kwa walio sikiliza DW jana Tanzania...
Hahahahaahahah umetisha, kweli unauhakika unaweza ukawa mtaji ama yeye utamgeuza mtaji? La hasha alivyosema yupo sahihi wanaume hampend kusikiliza matatizo ya wanawake.
Kwa kweli nimesoma yote, hamna cha maana alichokisema zaidi kujitapata sehemu isiyokuwa na maji, kanuni anazitaja kufafanua ipasavyo hawez zaidi anafafanua uhongo mtupu.
Real nimefrai kuisoma hii kwan naona nimepata kipya, ila kwa mi nnavyojua mtoto wa kiume anapatikana cku 14 baada ya hedhi kwa mwanamke, na unashauriwa baada ya tendo ucnywe maji labda baada ya masaa kadhaa ndo unywe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.