Recent content by under timer

  1. under timer

    Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

    Sana yaani binadamu ni wa ovyo sana
  2. under timer

    Je, hii ni sahihi au tatizo? Najiona nimekuwa mtu wa tofauti sana na wengi wanaonizunguka

    Hio ni ishara kwamba unatumia ubongo wako wewe km wewe, kumbka kuna mtu anatumika/anatumikishwa kiakiri mpka siku anakufa
  3. under timer

    Hivi kwanini Nahreel na Aika hawapati sapoti ya kutosha Bongo ili hali wako na sound ya tofauti kuzidi wasanii wengi wa kwenye A list

    Mashabik wengi wa bongo tabia zao ni km za chama fulan hv, hawafatilii mziki km mziki bali nani anatrend ata km anaimb utopolo
  4. under timer

    Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

    🤔🤔 😄😃😀 Ndyo mara nyingne huwa naota Sitosahau siku moja nilipitiliza nikalala usingizi mzito nikaota nipo mahala fulani hv bushi ajabu ikatokea msiba tukasafili mkoa jiran sijawahi kufika lakn nilikutan na mazingira km nilioota asee niliwaza sana nikamwambia bro tulokuwa nae yeye akasema et...
  5. under timer

    Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    huu uchambuzi unaendana na mkoa wa mara pia
  6. under timer

    Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Ingia play store search neno microphone zitakuja nying sana. Ila zote zinafanya kazi moja
  7. under timer

    Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

    Uliwezaje kuthibisha na kuamini kuwa kila gonjwa ulilopona liliponywa na jina la yesu
Back
Top Bottom