Tanroads wanavyojenga barabara Dar sio kabisa! unakuta sehemu barabara ya lami kilomita kadhaa lakini hakuna sehemu ya watembea miguu wala Vyombo ya kutupa taka na pia sehemu za kupaki magari yani kumejengwa bila mpangilio wowote! Sasa Dodoma kuna jaribu kurekebisha mistake iliyofanya Dar.
Labda wanaoweza kumsaidia ni viongozi na Institution kwaajili ya watoto kama huyo na hapa jijini wapo wengi tu kuanzia Ubungo,Kimara,mbagala,kariakoo yani hadi katikati ya jiji ni aibu sma kwa serikali kuachia vitu kama hivyi bila msaada
Wanakazana kuwabonda Raia wenzao lakini viongozi wanaiba mabilioni kimya! Tatizo Umaskini ndo Adui yetu si binadamu wenzie,juzi tu jirani tu wapangaji walikua wanampiga mwizi mpaka damu kisa kuiba taa asa xi uxnge huo!
Shida sio hoja! Nani kashika kiti sasa hivi kutoka ni ngumu yani mpaka waamue wenyewe watoke kama hao E.U wameshindwa hasa nani ataweza!? CHADEMA kuja kushinda Urais labda Chama tawala kife.
Muhamishe tu mwanao kwasababu jambo lolote likitokea baya kwake wewe ndie una hasara sio hao walimu, Nidhamu katika shule Tanzania ni kitu cha ajabu sana! Hawa walimu wanafanya watakavyo wao huko mashuleni na kero hii sio mara ya kwanza kutolewa na jamii, wazazi wengine hadi washapoteza watoto...
Story inaonesha bado huelewi unachotaka kama kweli ndo unaitafuta huwezi ukaipata na hiyo mentality, unataka pesa sawa na wewe utaleta nini mezani? unataka kuolewa kwanini? Ndoa sio lazima usije ukaingia kwenye shida kwasababu ya ushawishi au kuiga. KIkubwa unataka huduma au Mapenzi? huwezi pata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.