Kama unaona ada ya 3m kwa mwaka ni kubwa basi unatakiwa upambane sana,kama apo ulipo umekaa amka uanze kutafta hela.Yani 3milion per year unaandika uzi kabisa.
Kwani uzee ni ugonjwa?.Hata binadamu aliyezaliwa leo baada ya miaka lazma azeeke.Hata kama unajiona upo 30 leo baada ya miaka 30 mingine we ni mzee kikongwe.Haina haja ya kuchekana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.