Recent content by UNCOMMON LIFE

  1. UNCOMMON LIFE

    Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

    Kwa wenye interest mchanganuo upo, ni kufanya mawasiliano tu tuone tu nafanya. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. UNCOMMON LIFE

    Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

    Kuanzia millioni 6,inatosha kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. UNCOMMON LIFE

    Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

    Elimu, Shahada ya usimamizi wa mazingira na utawala wazo la Biashara kufungua Kampuni itakayo jihusisha na uzalishaji wa lishe zaidi wa watoto chini ya miaka mitano upungufu mtaalamu wa lishe, Fedha na Mtaji. Uwezo wa biashara kukua na kujiendesha, biashara hii ni rahisi kukua na ina uwezo...
  4. UNCOMMON LIFE

    kuflash simu na factory files ingia hapa

    Mkuu pia nami nisaidie ku unlock H6309 halotel
  5. UNCOMMON LIFE

    Unayetafuta ajira: niulize swali lolote kuhusu NGOs, Consultancies na international donors

    Mkuu nawezaje kuvolunteer AGAPE AIDS FOUNDATION Msaada tafadhali
  6. UNCOMMON LIFE

    Maaada wa kupata kazi wapendwa

    Internet, emails & likes
  7. UNCOMMON LIFE

    Maaada wa kupata kazi wapendwa

    Habarini za wakati huu Mimi ni kijana wa Kitanzania Natafuta kazi yoyote halali Nina ujuzi na uzoefu wa kutumia komputer Upande wa Microsoft software na outlooks Musaada wenu
  8. UNCOMMON LIFE

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hamna group la teregram wakuu
  9. UNCOMMON LIFE

    Msaada wenu jamani

    Samahani naombeni kunisaidia Kwa nini nikiinstall browsers kwenye computer zinagoma kufunguka.
  10. UNCOMMON LIFE

    For JamiiForums Mobile users

    Njia nyepesi ya kuweka link kwenye thread,nawe njoo upate ujuzi hapa
  11. UNCOMMON LIFE

    CHANGAMOTO GANI ULISHAWAHI KUKUTANA NAYO KAZINI.

    komaaaaa, utakufaaa wewe!!!!!
  12. UNCOMMON LIFE

    Matumizi ya neno Cc

    cc UNCOMMON LIFE
Back
Top Bottom