Recent content by uncle virus

  1. uncle virus

    Dark days 17/03/20

    Umaskini mbaya sana, Hivi mtu analipwa laki 2 then anaendelea kubaki huo huo upande?
  2. uncle virus

    Kwa Wasabato tu na wenye Fikra Huru

    Jackwillpower mbona hoja ya wake weng hujaigusia?
  3. uncle virus

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Extract hizi episodes, kuna site nzur za kupost kama pdf then unauza kila episode 500. Wanunuaji waswahili kabisaaa wasoma story za magazeti.
  4. uncle virus

    Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

    Mwanamke anaamini akiwa mzuri basi atamvutia kila mwanaume kitu ambacho sio kweli... Ukiona una urafiki sana na mwanaume na hakutongozi jua either humvutii au domo zege kaona hana vigezo unavyopenda.. Na ukiona mwanamke anasema ana rafiki wa kiume, 99% yeye ndo anapewa favor na yeye...
  5. uncle virus

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Dar port excels in WB rankings DAILYNEWS Reporter1 day ago 659 [https://dailynews] THE Dar es Salaam Port has climbed up by 49 places in the World Bank’s latest ranking on the most efficient ports globally. Container Port Performance Index 2022 indicates that Tanzania’s main sea gateway...
  6. uncle virus

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    If security is your first priority then stay with Anne,..If freedom( with its costs) I'd your first choice...go with Caryn. Mambo ya sijui mmetoka mbali sio sababu...mapenz hayaendi kwa hisani na huruma, hamjaona nyie lolote laweza tokea. Angalia nan anafit zaid kwenye maisha yako yajayo...
  7. uncle virus

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Dadek, umesepa na Crush wangu
  8. uncle virus

    Dark days 17/03/20

    MK254 NairobiWalker Kafrican hii inawahusu pia
  9. uncle virus

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Kwa Mara nyingine Caryn yko sahihi kabisa... Ulipaswa kutoa taarifa na ulitegemewa wewe kama mtu wa karibu kuelewa umekosea na sio kuonesha unammind kwa alichoamua... Leo umetupa package inayokidhi kiu...big up na shukran
  10. uncle virus

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Sema huyu Caryn namkubali sana BM X6
  11. uncle virus

    Dark days 17/03/20

    Part A ya Story iliishia by kaingia kwenye kikao na kuwachana waliokuwa wanaropoka, Kwa tuliosoma...kijana tajwa hapa ni nan? Then kama sijakosea Kuna kipande Cha the other side wakitaka kusikiliza kile bt anachotaka kuongea live. Huu sio upande wa paka? Wajuvi tueleweshane
  12. uncle virus

    Dark days 17/03/20

    Dah wamefuta, hii thread ya moto
  13. uncle virus

    Dark days 17/03/20

    Kuna watu mmekomaa kuzungumzia deep state na mnavyomwagika Sasa utadhan wajomba zenu., Kumbe story za vijiwe na Imani za kukaririshwa,..kama mnajua kweli endeleeni na story ya yoga sio mnasubir alete ndo mpate mileage
Back
Top Bottom