Recent content by UNCLE NJULI

  1. U

    JamiiForums Tanzania Fedha zetu NBC zipo salama?

    Thats not true...mayb uwe umekosea hizo information umeambiwa lete hiki ukapeleka kile ndipo watanzania wengi tulivyo tunapenda vitu faster faster pasipo kutulia na kufuata nini tunaagizwa kufanya ili kutekeleza hitaji letu ASAPs
  2. U

    JamiiForums Tanzania Uandishi wa CV katika kuomba kazi

    Thanks people mmetufumbua kiasi flani maana wengi wetu wabongo esp. tukiwa vyuoni tuna copy CV moja watu woooooote sasa ku edit ni shida soo ikibuma unakuta inabuna the whole chain.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kumpa mwanamke hela ni kumhonga au ni mapenzi tu?

    UJinga tuuu......hakuna kumpa.atazoea
  4. U

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Me wacha waongeee ila...J2 naenda kurudisha HASIRA ZA DIEGO COSTA pale ETIHAD. nampiga kama kasimama COSTA akitupia mawili Cahil 1 na Willian 1.:third: POINT 3
Back
Top Bottom