Sina hakika kama Mheshimiwa Mbowe aliyehojiwa na DW leo kuhusu ziara ya Mheshimiwa Lowasa ikulu alikuwa katika hali mzuri kifikra.
Je alichosema Mheshimiwa Lowasa kuhusu mafanikio yaliyofikiwa ya serikali ya Rais Magufuli siyo halisi?
Je upinzani kazi yake ni kuukataa ukweli uliopo?
Je ni...
Maelezo ya dreva kumpisha bosi wake katika kumuokoa yamekaa kinadharia zaidi kuliko kivitendo.
Dreva amekuwa na akili ya kumuokoa bosi wake wakati washambuliaji wamefika na yeye alishawatilia mashaka! Kwa nini hakuwachenga kabla hajafika nyumbani say angekwenda sehemu yenye mkusanyiko wa watu...
Requisition iliyoandikwa na Chadema kuomba kukodi ndege ili upewe invoice iliyooneshwa na Mhe Msigwa amesahau kuiambatanisha, nadhani itaambatanishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazo zuri lakini kuongeza muda wa kustaafu kulitokana na
1. Kupanda kwa life expectance ya watu kutoka about 40/50 years to 60 (correct me).
2. Kulikuwa na kipindi ambacho ajira zilisimama (10 years not sure).
3. Kulikuwa na kipindi ambapo enrolment vyuoni zilisimama (10 years?).
Hao...
Jecha ni Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ambaye aliziona hizo dosari mapema na akachukua hatua stahiki ambapo ni za kurudi uchaguzi.
Tume Huru ya Uchaguzi na Mpaka ya Kenya ilikuwa ni sehemu ya tatizo hivyo ilibidi kwenda mahakamani. So Jecha was more smart. Congratulations.
Sent using Jamii Forums...
Nakupongeza sana kwa kuzingatia maadili, upo makini. Papuchi inaonwa na mteule wako au daktari inapobidi na si ya kuiweka bayana. Keep it up!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipele vinatokea kwa sababu huna pattern ya kunyoa, nadhani ngozi ina pattern fulani kutegemea na musuli uliyonayo.
Suala la pattern ya misuli lipo hata watati wa kuchoma sindano kama hutazingatia utapata madhara. Angalia zilivyo nyasi bandia kwanja cha mpira, nyoa vile hutapata madhara...
Naomba kuuliza, hivi tumefikia mahali pa watu kutaka kutambuana kikabila, kimaeneo nk. kila Mhe Rais anapofanya teuzi? Nadhani tunapaswa kumuunga mkono na kumpa moyo katika mambo ambayo serikali na chama chake cha CCM inachokusudia. Hilo ndilo naliona lina tija zaidi.
Sent using Jamii Forums...
Wakuu naomba msaada wa namna ya kuchagua gari mzuri. Nimeiona gari aina ya Volkswagen kwenye mtandao nimependa kuinunua. Lakini pale kwenye dashboard kunaonekana vitaa viwili vya manjano na kimoja chekundu vinawaka. Je gari ni mbovu? Wajuzi wa masuala ya gari mnisaidie tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.