Ilichokifanya mahakama kuu ya Kenya ni sawa na alichokifanya Jecha Zanzibar

Mahakama kuu Kenya imefuta uchaguzi uliofanyika baada ya kugundua kulikua na dosari ,hivo hivo hata Zanzibar Jecha alifuta uchaguzi baada ya kugundua kua kulikua na dosari ,tatizo ni kwamba nabii hakubariki kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani maccm cjui mna akili za namna gani. Jecha alifanya maamuzi peke yake hakukaa na wenzake. Utalinganishaje na mahakama ya kenya. Jecha alikuwa ni hakimu. Pumbavu imebidi nikutukane ndio nyie mnaorudisha maendeleo ya tz nyuma.. utaandikaje ujinga kama huu
 
Jecha alipindua kwa kua yeye ni CCM damu.there have never been free and fair election even after rerun with them as the only compitator
 
ni sawa na alichokifanya mzee Lubuva/kailanya kutuonyesha malalamiko ya wapinzani (edo)kuibiwa hayakuwa sahihi.
 
Majeshi jengo la tume kuwekwa chini ya ulinzi kisha jecha kuja na amri ya kufutwa uchaguzi

Muwe na haya huwezi kufananisha udhalim wa jecha na maamuzi ya mahakama kuu ya kenya kuna aliyeshikiwa silaha walishandana kwa sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jecha ni Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ambaye aliziona hizo dosari mapema na akachukua hatua stahiki ambapo ni za kurudi uchaguzi.
Tume Huru ya Uchaguzi na Mpaka ya Kenya ilikuwa ni sehemu ya tatizo hivyo ilibidi kwenda mahakamani. So Jecha was more smart. Congratulations.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka mamlaka hamruhusu jecha kufuta uchaguzi
 
Back
Top Bottom