Inatakiwa ukapimwe mkojo
Jaman me nimezaliwa juzijuz tu hapa hao siwajuiInatakiwa ukapimwe mkojo
Alikiba na Diamond
Kasikilize nyimbo ya WCB zilipendwa utajua ni akina nani wametajwa mule
Hao ni Japhet Kaseba na Cheka, hapo walikuwa kwenye uzinduzi wa filamu ya JB na Ray Kigosi. Filamu inaitwa "Bongo Movie Wamefulia Kama Mr. Nice".
Ni Silvester Stallone (Rambo) na Arnold Schwartneegger wote wacheza sinema wa Hollywood, USA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa Acacia